What happened to Musiba/Tanzanite?

What happened to Musiba/Tanzanite?

Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Kumbe na wewe una madongo hivyo [emoji23] [emoji23] [emoji23] musiba kilaza
Akikuskia atatambaa na wewe

Ova

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tweets za Jamvi la habari nimeziona about 1 hr ago sasa kama mnapanga kumteka basi mtakuwa wa kwanza kutoa ushahidi
 
kuna Clip ya Dada mmoja huko You Tube akimchana chana Chahali kwakweli sijui nini kilitokea baina yao; nadhani tu labda mapenzi yaliisha ila sikudhani naye jasusi "mstaafu" ana ingia ndani ya mtego wa mwanamke.
hiyo ina uzi wake....hii sasa?
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
Yuko kwenye msafara wa Lissu.
 
Paskali hupendeki yani kuna wakati unakuwa na akili ila mwezi ukishaandama basiiii

Leo umenifurahisha kumbe hata wewe unatambua upopoma wa msiba

Mwache Pasko kwenye CV yake ameongeza heshima ya s kuitwa kikao muhimu sana ambacho wachache wamepata nafasi hiyo.
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
The situation matters... The current situation favors the majesty so he is now on the pending mode till high season...

Jr[emoji769]
 
Labda kuna mtu au kundi limesitisha malipo,bila malipo makubwa huwezi kujitoa akili vile.
Au labda kibarua kimeota mbawa baada kupima hasara na faida zake.
Nahisi pia labda wamepata mbadala,lakini kama akijiogeza anaweza akauza taarifa za nani waliokuwa wanamstiri,ikageuzwa kashfa.
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Mimi sikupi like, mleta mada lengo lake kutufikirisha na wewe umafanya hivyo hivyo. Huoni kuwa tunamiss uropokaji wa watetezi wa mwananzengo?
 
Back
Top Bottom