What happened to Musiba/Tanzanite?

What happened to Musiba/Tanzanite?

Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
We Pascal Mayalla acha kucheza na msiba atakumaliza. Hujui kama anajulikana katika wasiojulikana?
 
Adhima ya Tundu Lissu kuwa tishio dhidi ya ccm na magufuli sasa yatimia.

Wanaanza kujinyea taratiiibu.

Sisi wanamchi hatuna wasi wasi wowote, nyie wasi wasi wenu unatokana na nini.
Hamna kitu kama hicho. Labda hapo ufipa tu.
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Yaani leo ndio nimekudharau sana we jamaa. Sijapata ona ujinga wako kama leo. Nyie mnalilia uhuru wa kuongea na mtu anatumia uhuru huo bado mnambeza. Wapuuzi kabisa nyie. Sasa ni haki gani mnayoipigania kwa kubinya uhufu wa wwngine. Kweli wewe ulizaliwa wakati wa njaa. Na nina wasiwasi na wewe huenda umo kwenue yale mambo. Pole bwana P.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu mbona povu jingi
 
Kwa siku kadhaa sijaona "taarifa za habari za Musiba" kwenye chaneli yake na Tanzanite TV huko YouTube, na kwa siku kadhaa gazeti lake la Tanzanite halipo mtaani. Kulikoni?

“The FBI don’t come and ask you if you know someone if they don’t already know the answer.” [emoji4]

Likes: greybakuza, Beem, Ghwakukajha and 28 others

Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that. P

Likes: gm man, ufo tz, Balozi Mbumbumbu and 116 others
Kuna kitu kinaitwa moto. Moto huwashwa na moto huzimwa. Moto ukiwashwa kuna uwezekano wa kuleta madhara makubwa, moto ukizimwa hatari ya madhara hupungua. Humu jamvini moto ukiwashwa hatari inakuwa kubwa kama watajitokeza wenye madumu ya petroli, lakini pia wanaweza wakajitokeza wenye madumu ya maji. Swali ni kwamba kama kuna madhara waathirika ni akina nani kama hakuna wanaonufaika ni akina nani. Hii michango miwili yote inabeba ujumbe mzito ukiisoma kati ya mstari. Usiku mwema.
 
Mkuu unazidi kutuchanganya. Haya uliyoleta ni maji au ni petroli ?
 
Mkuu Chahali, wewe ni mtu mheshimiwa sana humu, unaaminika, usiwe unaulizia vitu trivial vya makorokocho kama huyo kilaza unayemuulizia. Unampa kichwa kuwa kumbe hadi watu muhimu wa uskochi wanamiss makorokocho ya kilaza Musiba!.
Stop that.
P
Huyu ndiye Pasco ninayemfahamu
 
Kuna kitu kinaitwa moto. Moto huwashwa na moto huzimwa. Moto ukiwashwa kuna uwezekano wa kuleta madhara makubwa, moto ukizimwa hatari ya madhara hupungua. Humu jamvini moto ukiwashwa hatari inakuwa kubwa kama watajitokeza wenye madumu ya petroli, lakini pia wanaweza wakajitokeza wenye madumu ya maji. Swali ni kwamba kama kuna madhara waathirika ni akina nani kama hakuna wanaonufaika ni akina nani. Hii michango miwili yote inabeba ujumbe mzito ukiisoma kati ya mstari. Usiku mwema.

Mkuu unazidi kutuchanganya. Sasa haya uliyoleta ni maji au ni petroli?
 
Back
Top Bottom