Mzee
Platinum Member
- Feb 2, 2011
- 13,620
- 5,867
Mda wangu wa ku log out umefika,mungu akijalia kesho nitakuwa na rafiki zangu watakao kuwa night ucku wa leo! Thnx all.
usiku mwema.
Mda wangu wa ku log out umefika,mungu akijalia kesho nitakuwa na rafiki zangu watakao kuwa night ucku wa leo! Thnx all.
Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.
Hiyo ni very simple itakuwa ni mtu anaye cancel, hivi ndo vingereza vyetu vya english course week moja unaongea na kuandika kiingereza.canceler ndio nin?
Usiangalie muda gani watu wanapost kwani wa-danganyika wametawanyika dunia nzima....
Pia kumbuka page ya JF kwenye simu ya kiganja ..mara nyingi iko online 24 hrs..ikisubiri breaking news ambazo mara nyingi zinaanzia JF kabla ya CNN..
Hapa tutaongea mengi tu ila Kwa kweli kwa hao members wanaochat 24 hours humu JF kama wapo, tatizo lipo tu, ila sijajua bado hilo tatizo lipo wapi hasa.Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.
Hiyo ni very simple itakuwa ni mtu anaye cancel, hivi ndo vingereza vyetu vya english course week moja unaongea na kuandika kiingereza.
Hapa tutaongea mengi tu ila Kwa kweli kwa hao members wanaochat 24 hours humu JF kama wapo, tatizo lipo tu, ila sijajua bado hilo tatizo lipo wapi hasa.
husniyo kama kawaida yako ulikuwa zamu ucku wa kuamkia leo!
punguza presha mama huu ni mtazamo tu,kama vp pia unaweza kuja kukopa kwn na ww nadhan ni kati yao!
tobaaaaa! Watu wanajibrothersugarcane kuongea kingereza.