Wewe unayechart JF 24 hrs!!

Hata tukiwa masaa mengi huko bado tunaweza kufanya kazi zetu na kuishi town kwa kujidai pia.
 
Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.

Mf mimi huwa nalaumiwa nashinda JF 24/7 but sioni hivyo, nina muda wangu wa kufanya kazi, na ya kuingia sio tu JF bali katik mitandao.

Huwa naamka saa 11 na nusu asubh, hapa lazma nipitie mitandaoni kama 15mints, baadae naoga,naswaki wakati nakunywa chai naingia JF, nkimaliza nafanya mambo yangu mengine..urgent notification nazia attend, unnecessary one napuuza ikifika lunchtym naingia JF kama nusu saa. Narudi huku Jion baada ya kazi, hapa inawezakwenda mpaka wakati huu. However kupost jambo ni issue ya dakika yo can do anytym.

Kama ni mtu umezoea kutumia simu, and starehe yako ni s.networks utashangaa watu wanakuona unashinda jf while mb mengine unafanya na yanafanikiwa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom