Wewe unayechart JF 24 hrs!!

kujenga chuki sio rahisi hivyo ndugu yangu. kwanza nakushukuru kwa huu uzi manake huyo husninyo ni mke wa mwanangu, hapiki, haangalii wajukuu zangu ana kazi ya jf tu! asante kwa kumpasha kimtindo,lol

Ha ha haaa mbona msg sent mda tu!
 
namwona kama atakuwa ameathirika kisaikolojia

Kweli kabisa huamini kuwa kuna mtu mwenye akili na ufahamu timamu kabisa anaweza kukaa Jf 24hrs? Mbona jambo linawezekana kabisa. Maana kama unaona haliwezakani ... Hili litakuwa tatizo lingine.
 
Mda wangu wa ku log out umefika,mungu akijalia kesho nitakuwa na rafiki zangu watakao kuwa night ucku wa leo! Thnx all.
 
Triple A ni kweli ndugu yangu wanapaswa kupumzika. Jamani pumzikeni.
 
ukwl ni kwmba kuna baadhi ya members wanagombana mpaka na wake zao kisa hataki kulala yuko busy na uso wa kitabu nk!
In zis case, Hapa lawama zote zimwendee waifu, hivi kama waifu atavaa night dress katransparenti kauchokozi, halaf kajipodoe podoe, halaf kajipitishe kakwambie "honey nakuiitaji mwenzio" , hakyanani ukibaki JF basi ujue wewe ni shoga. Hapa ndio ubunifu wa kinamama unahusika ili kumkimbiza jamaa kwenye skrin.
 
kuna mijitu huwa hailali. Bora hata mimi ninakuwa napatikana mara chache.
 
We mwenyewe kutwa upo unachek nani kaingia na nani katoka,nani kaweka thread na nani kacomment ,tena wewe ndo unamatatizo makubwa sana inabdi ukapimwe kwa sababu naona unaingilia majukumu ya server.
 
hivi hajui kuwa kama mtu uko addicted na jf utarudi home mapema
na wife atakuona upo home kila siku?aulize wenye addiction na mabar maids lol

Tena kama wa pale Picnic, Arusha!! Au Villa Park, Mwanza.
 
dah! kamanda naona unatema madini hapo juu ushawahi kuchungulia kicheni pati nini?
hehehe kamanda hapo hapahitaji kichen pati, hivi haujawahi kuskia jamaa kabaka mke wake? unafkiri inatokeaje? mke daily ananuka kikwapa sku moja anaamua kuoga inakuwa balaa.
 
hehehe kamanda hapo hapahitaji kichen pati, hivi haujawahi kuskia jamaa kabaka mke wake? unafkiri inatokeaje? mke daily ananuka kikwapa sku moja anaamua kuoga inakuwa balaa.

tehetehheee... aiseee sema tu zile mingo zangu zote za humu zime sepa haya madini unayotema humu yange wasaidia sana.
 
tehetehheee... aiseee sema tu zile mingo zangu zote za humu zime sepa haya madini unayotema humu yange wasaidia sana.
hehehe intelijensia zinasema mingo zimo in da hauzi , zimekuja kivyengine tu, kuwa makini, ukichemsha imeludi kwako.
Ule mradi wako wa kupeleka mamba bangladeshi unaendeleaje mkuu?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom