maana yake unatakiwa utolewe roho..
hivi english kozi huja-graduation hadi leo?
hata kama unasimamia vyote hivyo inamaana huyu mtu kazi zake zinaenda tu bila ucmamiz wwte?
hahahaha! Mkwe kidhungu kigumu. Hebu nitaftie centre nikajifunze.
ni mtazamo tu na wala ucjenge chuki!
Kama muda unaruhusu, majukumu yanaruhusu, uwezo unaruhusu basi mimi namuheshimu sana mtu anaekaa JF muda mrefu, infakti inakuepusha na mambo mengi ya kizembe ambayo ilikuwa ukazembeke nayo nje na ambayo pia yangekosti uchumi au maisha yako.
Nimemaliza, napokea masuala matatu tu yasizidi.
ulisikia yule aliesema i am a wife big of this factory?mimi ndie mkemia mkuu wa hiki kiwanda?lol
hahahaha! Mkwe kidhungu kigumu. Hebu nitaftie centre nikajifunze.
ulisikia yule aliesema i am a wife big of this factory?mimi ndie mkemia mkuu wa hiki kiwanda?lol
Its a good observation!
Ila;
1. Inabidi kuwa na uhakika kuwa member yuko masaa 24 na wewe uwepo masaa hayo hayo kushudia activities zake in real time
2.. Kuona tu! Jina lake linaonyesha yuko online bila activness haidhibitishi kuwepo kwake nyuma ya computer yakea
3. Wewe unamchukuliaje mtu anayekaa hapa 24hrs?
Yep hii itakuwa ni 100% addction lakiniok dawa chungu,sasa naomba nikuulize swli,mtu kama huyu atakuwa co adicted kwel?
Yep hii itakuwa ni 100% addction lakini
Mkuu katika maisha ni tabu sana kuishi bila addiction ya chochote, sasa ni bora ukuwe addicted na JF kuliko kuachana na JF ukakuwa addicted na kupiga chabo majirani wakilala na wake zao.
kujenga chuki sio rahisi hivyo ndugu yangu. kwanza nakushukuru kwa huu uzi manake huyo husninyo ni mke wa mwanangu, hapiki, haangalii wajukuu zangu ana kazi ya jf tu! asante kwa kumpasha kimtindo,lol
hakuna mtu wa 24 hours jf
huwa tunasahau ku log off.......
Yep hii itakuwa ni 100% addction lakini
Mkuu katika maisha ni tabu sana kuishi bila addiction ya chochote, sasa ni bora ukuwe addicted na JF kuliko kuachana na JF ukakuwa addicted na kupiga chabo majirani wakilala na wake zao.
umeongea pointi sana mkuu TBhivi hajui kuwa kama mtu uko addicted na jf utarudi home mapema
na wife atakuona upo home kila siku?aulize wenye addiction na mabar maid lol