Wewe unayechart JF 24 hrs!!

Wewe unayechart JF 24 hrs!!

24 hrs kama kawaida bila hivyo mambo hayataenda...!
 
wengine wapo ugaibuni wewe kwako mchana unawaona usiku wako kwao mchana
na usichezee smartphones wamekumention tu kanortification fasta lazma mkono ukuwashe kujibu hata kama upo kazini
 
unahisi humu rizki haipatikani? kuna watu ndugu yangu,wanaziacha hela ziwatumikie. learn from the best, let money work for u and nt vice versa.
kila la kheri

ameshaelewa!!!
 
hata kama unasimamia vyote hivyo inamaana huyu mtu kazi zake zinaenda tu bila ucmamiz wwte?

kwani lazima usimamie moja kwa moja kwa kumfuata alipo?

si tunatumia digital means bwana!! kuna CCTV cameras, lazima uone observations zinavyoenda!

then, tuna chain of command, mimi kama GM siwezi kuja kwako chini kabisa nije direct kukusimamia!!! alaaaaa!!!!

masupavaiza hawapooooo?????
 
Jamani najiuliza sn lkn sipati jibu,kuna members hapa jf wanachat masaa 24! Swali ni kwmba huwa wanajitafutia rizki sangapi na muda wa kulala hamlali hapo inakuwaje?nisaidieni kwa hili plse.

Tungeanza na wewe, kwani kama umeweza kuwaona wakiwa online 24hrs manaake na wewe unakuwa online na ndo maana unaweza kuwaona, je wewe huwa hutafuti riziki..!?
 
Tatizo liko wapi hapa coz kila member amejipanga ki vyake...Ya ngoswe muachie ngoswe
 
km mie dada wa kazi nyumbani,boss akiondoka asubuhi kurudi saa 5 usiku kwanini nisijiachie?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom