Na hiyo show huwa inanoga mnoWakati mwingine ukorofi unalipa, baada ya ugomvi kunakuwa na show ya kufa mtu
Sana 😆Na hiyo show huwa inanoga mno
Ngoja niishie hapa tuSana 😆
Mmmhh ghwishenena 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣Nimemic kujishenena
Anayo mbona ila yupo humuhumi MMU na chitchatMimi sijamisi kitu ila natamani mh Rais John pombe magufuri awe nayeye na I'd yake humu
SithubutuBabu kwa nini umeacha hiyo kazi?
Tanzania wa hivyo wameishagaHabari wana Jamvi,
Naamini hapa kuna watu wa aina tofauti na kuna watu pia tuna mahitaji tofauti ila inakuwa shida saana kujua hitaji la mwenzako na ku share naye.
Back to the point. Hebu leo tuambiane kweli wewe ume-miss nini?
Mimi nime-miss kuwa na msichana mrembo kwenye serious relationship, ambaye tutapendana kweli na kuweka future twende kwenye ndoa.
Kama kuna anaye-miss kitu kama mimi basi na tufahamiane hapa au PM maana Mungu anaweza kujibu popote.
NB: Ukiona mtu ka-miss same na wewe mfate PM mfahamiane.
Naomba mrejesho urudi hapa.
😋nimemiss kumfanya demu a squirt
Nimemiss kuwa na wapenzi wawili kwa wakati mmoja yaan nimemisss sana wakati wa kugonganisha fuso na youtong
Namiss kutongozwa tongozwa, kuwasumbua sumbua wanaonipigia misele aaghhhrrr uzee huu
Hahahaha, asee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]! Ww bwana!mm stage niliyo sio nzuri hata kidg...nahis mm ndo nataka kutongoza[emoji134][emoji134][emoji134]!yaan kila kitu naona ni flat! Yaan ht men ajimix anitongoze namuweka kwenye kona hatarishi[emoji1787]!ghalfa anajiona demu!
Boss wangu!__, 😎!Hahahaha, asee