Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

🤣🤣🤣🤣🤣! Ww bwana!mm stage niliyo sio nzuri hata kidg...nahis mm ndo nataka kutongoza🙆🙆🙆!yaan kila kitu naona ni flat! Yaan ht men ajimix anitongoze namuweka kwenye kona hatarishi🤣!ghalfa anajiona demu!
🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 stage zingine za maisha hazina usawa kabisa😥😥😥
 
🤣🤣🤣🤣🤣sweet nKuvumiliaga we leo nimeshindwaaaa🙌🙌🙌🙌🤣🤣🤣🤣 nakugawa bureeeee!🤣🤣🤣!nacheka hapa jaman mm
Acheni ujana uitwe ujana sku moja wamepishana getini awajuani, nlitaman kujikojolea, anayetoka kijana mchumba na pete ake nimevaa, mara mbaba yule sjui alitokea wapi kapaki gari apo mie huyoooo ndani nkajifanya sjamuona maana yule alikuwa ajaondoka ntampokeaje hawara????🤣🤣🤣🤣 nkarudi zangu ndani kuweka uso safi na kukusanya masalia ya mchumba pale kufuta ushahidi maana nlimwambia tushaachana nimebaki tu na pete
 
Acheni ujana uitwe ujana sku moja wamepishana getini awajuani, nlitaman kujikojolea, anayetoka kijana mchumba na pete ake nimevaa, mara mbaba yule sjui alitokea wapi kapaki gari apo mie huyoooo ndani nkajifanya sjamuona maana yule alikuwa ajaondoka ntampokeaje hawara????[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nkarudi zangu ndani kuweka uso safi na kukusanya masalia ya mchumba pale kufuta ushahidi maana nlimwambia tushaachana nimebaki tu na pete
Una hatari [emoji1787][emoji1787]
 
Nahisi kuna mtu amekubadilisha mawazo
Ama marafiki zako wasiyopenda penzi lako
Kueleza kitu ambacho afadhali usingekisema mpenziiii

Maneno matamu uliyonipa chumbani
Huku kichwa chako umekilaza kifuani
Machozi ya kikutiririka mashavuni
Kwamba hutoniacha mimi labda utoweke Duniani....iiiii
Umeniacha kipindi ambacho sitaraji mpenzi
Moyo wangu bado unalihitaji lako penzi

Nimeyakumbuka tu haya mashairi.
 
Acheni ujana uitwe ujana sku moja wamepishana getini awajuani, nlitaman kujikojolea, anayetoka kijana mchumba na pete ake nimevaa, mara mbaba yule sjui alitokea wapi kapaki gari apo mie huyoooo ndani nkajifanya sjamuona maana yule alikuwa ajaondoka ntampokeaje hawara????🤣🤣🤣🤣 nkarudi zangu ndani kuweka uso safi na kukusanya masalia ya mchumba pale kufuta ushahidi maana nlimwambia tushaachana nimebaki tu na pete
Wewe si kiumbe mzuri!
 
So so soooooooo many small small things, you know mh.....
 
Back
Top Bottom