Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

Nimemisi kugombana na mpenzi wangu yaani kile kipigo cha mbwa koko anachokipataga na yy akiona chochote mbele yake ananitupia au anakivunja,yaan miezi minne ishapita,sijui kwa nin kile kiburi haendelei nacho!
 
Nimemiss kupiga chabo. Kuna mwaka Fulani nilikuwa nasoma masters nje nilipita sehemu nikakuta watasha wamelewa mtu na demu wake wanapigishana chuma mbona aisee ile burudani niliyopata sijawahi kuipata hata kwenye movie yoyote ya X ulimwenguni
 
Mimi nimemisi Baba wa Taifa angekuepo sijui ingekuaje.
 
Nimemiss kupiga chabo. Kuna mwaka Fulani nilikuwa nasoma masters nje nilipita sehemu nikakuta watasha wamelewa mtu na demu wake wanapigishana chuma mbona aisee ile burudani niliyopata sijawahi kuipata hata kwenye movie yoyote ya X ulimwenguni
Umenikumbusha mbali mwamba, nilikuwa nakula mdada mmoja kwa fujo kwenye gesti za bei nafuu, Sasa zile kelele za chaga so kuna njemba nikaisikia inanyata dirishani,kwa hasira ndio nikazidisha kukwichua (sura zetu zilielekea dirishani naamini hakuona nyeti zetu).Nilipomaliza nikaenda dirishani kumcheki jamaa kwa mbali nikamuona kaingiza mkono mfukoni tumbo wazi uwani (Gest za Kanda ya ziwa ni tofauti na Dar,Zina uwazi katikati hazina veranda )

Anyway..nime miss vitanda vya chaga kupiga kelele wakati unakwichua...na ukelele wa demu vinahamasisha kishenzi😁
 
Back
Top Bottom