Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

Wewe ume-miss nini? Mimi nime-miss...

Nimemiss kukimbiza boti ndogo mpaka raia waliopanda wakishuka wanakuwa na sura za kipole.
 
Wapo wanaoendelea na hiyo tamaduni ila dah asee nimemis ile kunyolewa nywele kwa kitana na wembe
Hapo umekalia kistuli au ndoo
 
Nimemiss kudeka kwa baba jamani..nimemiss mno hadi najikutaga nalia..
 
Back
Top Bottom