Kama yupo naomba kwaheshima namuomba yaani namuomba pm plzyupo sema hujui ID yake
Jamaa una akili sana aiseeMm nimemiss Kuona mizunguko wa hela Ukirudi kama zamani.
Hapo kwenye ugomvi wa msg nakuelewa sana [emoji38][emoji38]. Napenda pia hasa jamaa awe amekosea yeyeNimemiss kupewa hela, hela za bure bure tu
Nimemiss kuingia kwenye battle za chatting 'napenda sana ugomvi wa msg[emoji3]
watu wagomvi utawajua tuNimemiss kupewa hela, hela za bure bure tu
Nimemiss kuingia kwenye battle za chatting 'napenda sana ugomvi wa msg😀
maana sio kwa magazeti utayomuandikiaHapo kwenye ugomvi wa msg nakuelewa sana [emoji38][emoji38]. Napenda pia hasa jamaa awe amekosea yeye
nna sh 100 hapa sijui pa kuipeleka hivi wakala wa Tigo pesa anaweza Tuma sh.100?Nimemiss kupewa hela, hela za bure bure tu
Nimemiss kuingia kwenye battle za chatting 'napenda sana ugomvi wa msg😀
Halafu niwe mbali nae atajuta kuzaliwa, maconfidence kama yotemaana sio kwa magazeti utayomuandikia
msg ina ji update mara nne nne,unaisoma mwanzo mwisho ila ukifika mwisho
inakuambia "msg incomplete" hapo nabaki najiuliza hii msg ina page ngapi kwani?
wapenda ugomvi 90% ni waogaHalafu niwe mbali nae atajuta kuzaliwa, maconfidence kama yote
Hahaha kaulizenna sh 100 hapa sijui pa kuipeleka hivi wakala wa Tigo pesa anaweza Tuma sh.100?