Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,215
- 54,549
Hapo kwenye ugomvi wa msg nakuelewa sana [emoji38][emoji38]. Napenda pia hasa jamaa awe amekosea yeye
Acha ukorofi
Hapo kwenye ugomvi wa msg nakuelewa sana [emoji38][emoji38]. Napenda pia hasa jamaa awe amekosea yeye
Wakati mwingine ukorofi unalipa, baada ya ugomvi kunakuwa na show ya kufa mtuAcha ukorofi
Niko hapa...Nimemiss kuwa na wapenzi wawili kwa wakati mmoja yaan nimemisss sana wakati wa kugonganisha fuso na youtong
Una umri gan?Niko hapa...
26 yrs old...Una umri gan?
Too young26 yrs old...
Njoo pm nikuuzie maana kuna kisanga hapa kimenikumba duuh. Mpaka sasa sijibu sms tena maana siyo kwa matusi yale niliyoporomoshewa.Nimemiss kupewa hela, hela za bure bure tu
Nimemiss kuingia kwenye battle za chatting 'napenda sana ugomvi wa msg[emoji3]
You are not going to date with age.. just personality and AttitudeToo young
Nimemisi barabara za Vumbi na madumu ya maji ya kununua dumu 500 !!!Mambo yangu ya fedha yaende vizuri. ..
Cc
Nimemiss kuwa na wapenzi wawili kwa wakati mmoja yaan nimemisss sana wakati wa kugonganisha fuso na youtong