Last year nimepata around 1.2M nikiwa mtaani baada ya form six, mwaka huu mpaka sasa nahesabu hasara ya around 520,000 kwa sababu ya corona virus + muda ninaotumia kusoma. Nadaiwa ada nauza assets kadhaa nilipe maana madeni yananitesa sana.
That means ningekuwa kitaa ningekuwa na hela nyingi kuliko hapa nilipo chuo. Bum sina. Sasa wewe unaesema tukitoka chuo tutateseka, mimi ndo mzoefu wa shida sasa. Zitafurahi.
 
Mbona unapindisha mada .hujatoa solution unakimbilia chupi na sketi... Hebu toa ushauri kwa hao graduates unaowadis kana kwamba wewe maisha umeyapatia 100%
Kama mpaka hapo umeshindwa kuelewa nadhani IQ yako ni ndogo siwezi kukupa ushauri unakimbilia solution ya nimeyapatia maisha inaonyesha jinsi gani unawachukia watu waliokuzidi kipato uwe na usiku mwema
 
Last year nimepata around 1.2M nikiwa mtaani baada ya form six, mwaka huu mpaka sasa nahesabu hasara ya around 520,000 kwa sababu ya corona virus + muda ninaotumia kusoma. Nadaiwa ada nauza assets kadhaa nilipe maana madeni yananitesa sana.
That means ningekuwa kitaa ningekuwa na hela nyingi kuliko hapa nilipo chuo. Bum sina. Sasa wewe unaesema tukitoka chuo tutateseka, mimi ndo mzoefu wa shida sasa. Zitafurahi.
Hongera sana mkuu hebu muelimishe huyu Boeing 757 ajifunze na yeye
 
Acheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.

Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
 
Kama mpaka hapo umeshindwa kuelewa nadhani IQ yako ni ndogo siwezi kukupa ushauri unakimbilia solution ya nimeyapatia maisha inaonyesha jinsi gani unawachukia watu waliokuzidi kipato uwe na usiku mwema
Haina noumaaa iq yangu inasoma 0.007 ya kwako ni kubwa ila umeshindwa kutoa suluhisho kazi kunanga graduates.. nakwambia utoe solution unakimbilia kutoa mifano ya kizinzi..baki na iq yàko
 
Acheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.

Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
Watu wa design Hii ya kuwananga graduates wamejaa sana kipindi hiki sijui shida ni Nini.wamejawa chuki sana
 
Haina noumaaa iq yangu inasoma 0.007 ya kwako ni kubwa ila umeshindwa kutoa suluhisho kazi kunanga graduates.. nakwambia utoe solution unakimbilia kutoa mifano ya kizinzi..baki na iq yàko
Jambo dogo tu umeulizwa kujibu unashindwa unasema mifano ya kizinzi nimekuleta huko kwakuwa vijana ndio mambo yenu ila nakusikitikia hata ilo swali dogo tu la mfano limekushinda na si kila solution lazima mpewe zingine tafuta mwenyewe .....ila nakupongeza umejijua kuwa una IQ ya 0.
 
Wale Wa Diploma Nao Waje Watuambie Hali Ikoje
October Twende Wote Kumpa Ushindi Mwamba John Pombe Joseph Magufuli Atuvushe Na Amalize Ahadi Zake

Ndugu Zangu Mshahara Hata Mimi Haunitoshi
Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania
 
Jambo dogo tu umeulizwa kujibu unashindwa unasema mifano ya kizinzi nimekuleta huko kwakuwa vijana ndio mambo yenu ila nakusikitikia hata ilo swali dogo tu la mfano limekushinda na si kila solution lazima mpewe zingine tafuta mwenyewe .....ila nakupongeza umejijua kuwa una IQ ya 0.
Wale wale
 
Sometimes hatuwezi ongea lugha moja ikaeleweka kwasababu ya familia tunazotoka ni tofauti.

Kama wote tungekuwa sawa kifamilia lugha inheeleweka, kuna mshkaji wangu anapewa pesa mpaka ya kwenda interview huyu utamwambiaje lugha hii akaelewa ila mtu kama mimi interview hata iwe wapi nijue pesa naitoa la wapi mfukoni mwangu kwanini unadhani mtoa mada asiwe kaongea cha msingi.

Maisha sio fea ndio maana duniani tunapita ingekuwa tunaishi milele kuna watu wasinhekubali.
 
Kabisa tuku tofauti kimaisha na kiconnection.
 
Back
Top Bottom