cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,669
- 5,034
Wewe mtoto wakishua ndio unasema ivoKwani hela ni boom tu?, money is in the air kazi kwako tu
Wewe mtoto wakishua ndio unasema ivoKwani hela ni boom tu?, money is in the air kazi kwako tu
😅😅 ndo atajuwa kwanini dunia na gunia zinaendana herufi za mwisho.Na usipo kufa na dunia isipo pita ?
Ivi mfano umekutana na demu mkali kwenye gari siti moja moyo ukapiga pap! Cha kwanza kufanya nini?Kivipi Yaani hebu funguka ..ili tufaidike na ushauri wako
ndo atajuwa kwanini dunia na gunia zinaendana herufi za mwisho.
Kwa Kifupi hao ni watu wenye chuki, husuda na wivu.Msitutishe mi nilishawasoma humu mnataka kutukatisha tamaa. Kwa taarifa n kwamba tumejipanga sana "liwalo na liwe" ila maisha yaenda tu
Mbona unapindisha mada .hujatoa solution unakimbilia chupi na sketi... Hebu toa ushauri kwa hao graduates unaowadis kana kwamba wewe maisha umeyapatia 100%Ivi mfano umekutana na demu mkali kwenye gari siti moja moyo ukapiga pap! Cha kwanza kufanya nini?
Kama mpaka hapo umeshindwa kuelewa nadhani IQ yako ni ndogo siwezi kukupa ushauri unakimbilia solution ya nimeyapatia maisha inaonyesha jinsi gani unawachukia watu waliokuzidi kipato uwe na usiku mwemaMbona unapindisha mada .hujatoa solution unakimbilia chupi na sketi... Hebu toa ushauri kwa hao graduates unaowadis kana kwamba wewe maisha umeyapatia 100%
Hongera sana mkuu hebu muelimishe huyu Boeing 757 ajifunze na yeyeLast year nimepata around 1.2M nikiwa mtaani baada ya form six, mwaka huu mpaka sasa nahesabu hasara ya around 520,000 kwa sababu ya corona virus + muda ninaotumia kusoma. Nadaiwa ada nauza assets kadhaa nilipe maana madeni yananitesa sana.
That means ningekuwa kitaa ningekuwa na hela nyingi kuliko hapa nilipo chuo. Bum sina. Sasa wewe unaesema tukitoka chuo tutateseka, mimi ndo mzoefu wa shida sasa. Zitafurahi.
Haina noumaaa iq yangu inasoma 0.007 ya kwako ni kubwa ila umeshindwa kutoa suluhisho kazi kunanga graduates.. nakwambia utoe solution unakimbilia kutoa mifano ya kizinzi..baki na iq yàkoKama mpaka hapo umeshindwa kuelewa nadhani IQ yako ni ndogo siwezi kukupa ushauri unakimbilia solution ya nimeyapatia maisha inaonyesha jinsi gani unawachukia watu waliokuzidi kipato uwe na usiku mwema
Watu wa design Hii ya kuwananga graduates wamejaa sana kipindi hiki sijui shida ni Nini.wamejawa chuki sanaAcheni kudanganya madogo wengine pesa tumeanza kuzishika shule ilipoisha wewe kama huna mchongo wa pesa baada ya kumaliza shule ni wewe na shida zako ajira zipo kibao na biashara zipo kibao z kufanya ukatoboa tatizo vijana wengi hamjiongezi.
Wadogo zangu pesa zipo ajira zipo na maisha baada ya chuo yapo mazuri tu hawa wavivu wasiwadanganye na kuwatishia
Jambo dogo tu umeulizwa kujibu unashindwa unasema mifano ya kizinzi nimekuleta huko kwakuwa vijana ndio mambo yenu ila nakusikitikia hata ilo swali dogo tu la mfano limekushinda na si kila solution lazima mpewe zingine tafuta mwenyewe .....ila nakupongeza umejijua kuwa una IQ ya 0.Haina noumaaa iq yangu inasoma 0.007 ya kwako ni kubwa ila umeshindwa kutoa suluhisho kazi kunanga graduates.. nakwambia utoe solution unakimbilia kutoa mifano ya kizinzi..baki na iq yàko
Watu wa design Hii ya kuwananga graduates wamejaa sana kipindi hiki sijui shida ni Nini.wamejawa chuki sana
Wale waleJambo dogo tu umeulizwa kujibu unashindwa unasema mifano ya kizinzi nimekuleta huko kwakuwa vijana ndio mambo yenu ila nakusikitikia hata ilo swali dogo tu la mfano limekushinda na si kila solution lazima mpewe zingine tafuta mwenyewe .....ila nakupongeza umejijua kuwa una IQ ya 0.
Sometimes hatuwezi ongea lugha moja ikaeleweka kwasababu ya familia tunazotoka ni tofauti.
Kama wote tungekuwa sawa kifamilia lugha inheeleweka, kuna mshkaji wangu anapewa pesa mpaka ya kwenda interview huyu utamwambiaje lugha hii akaelewa ila mtu kama mimi interview hata iwe wapi nijue pesa naitoa la wapi mfukoni mwangu kwanini unadhani mtoa mada asiwe kaongea cha msingi.
Maisha sio fea ndio maana duniani tunapita ingekuwa tunaishi milele kuna watu wasinhekubali.