mwanahabari huru


 1. S

  Ukuaji na ukomavu wa #MfumoMagufuli - mumeanza kuelewa?

  wakuu wanabodi nawasalimu. umepita muda kidogo sijashiriki mjadala humu lakini yote yako powa kabisa na sijatekwa kama wangine walivyodhani. tuko bize na safari ya kuhamia dodoma. miezi kama 6 hivi imepita niliandika mada kuhusu ujenzi wa #MfumoMagufuli au #MfumoJiwe. mada iko kwenye uzi huu...
 2. Sanyambila

  Timu za taifa ni za Dar Es Salaam sio za watanzania wote? onesheni mpira na wa vijijini waone

  Habari zenu wananchi wenzangu. Nianze kwa kusema nasikitishwa saana na uongozi Wa Mpira kwa kuto tumia TELEVISION YA TAIFA inayo patikana Karibu ving'amuzi vyote katika maonyesho ya MPIRA HASA TIMU ZA TAIFA, Waoo wamempa Azam , siyo kila mtanzania anauwezo Wa kununua king'umuzi hiki na...
 3. ILLICH

  Tarehe 09/04/2019 vijana wa vyama vya upinzani watafanya maandamano ya kupinga azimio batili la bunge la kutofanya kazi na CAG

  Tarehe 09/04/2019 vijana wa vyama vya upinzani watafanya maandamano ya kupinga azimio batili la bunge la kutofanya kazi na CAG. Azimio hili ni uvunjaji mkubwa wa katiba. Ukiwa kijana wa nchi hii,tambua ya kwamba,kodi ya kila mtanzania inakaguliwa na CAG na kutolewa report,kupitia CAG ndio kila...
Top