Kiboko ya Jiwe
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 12,771
- 36,375
2018 kuna wakati ulianza kuwehuka mara makontena si yangu ni ya CWT, walipoulizwa chama cha walimu walikana licha ya maigizo yako ya kuchukua wanafunzi na walimu wachache kwenda kuwaonyesha makontena bandarini.
Baadaye ukakana huyatambui.
Baadaye tena ukaanza kugawa laana kwa watakaonunua kama kawaida yako mtu mwovu unayependa laana kuliko baraka.
Eti mtu anayekwepa Kodi ya bilioni 1.2 anawakaripia wakurugenzi na mawaziri.
Philip Mpango alisimama katika haki makontena yako yakasombwa na maji.
Tuliona magari ndani ya makontena na vitu ambavyo havina uhusiano na wanafunzi.