Baba Adele
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 208
- 229
Ungetumia busara jinsi ya kufikisha mada yako, umewadhalilisha wanawake, si hao wa 30's tu bali hata hao wa 20's sababu na wao watakao olewa ni wachache wengu watafika huo umri bila mume."Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninaye lingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaaa
Mimi nina 30 mpk nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lkn mie moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.
Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mm naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.
Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.
Jumapili njema.
Halafu mapenzi kitu tofauti sana kinachokufurahisha wewe si kinacho mfurahisha mwengine.
Kama chaguo lako ni 20's basi fanya yako usiwazungumzie wengine japo ktk uzi wako umejitoa lakin hayo ni mawazo yako.