Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Ndo nilifikisha 20 mwaka jana december shem. Oooops y umeuliza lkn? Una agenda gani?
Oouh..

Nakuonaga mbichii saana sasa nikajua tu lazima utakuwa kwenye 19 20 21 hivi
 
Asee sio poa kabisa wewe mleta mada
 
Mleta mada hujakua....na inawezekana KBS umesha ukwaa una kiharusi kabisa kwenye akili yako sio Bure...kakojoe ulale
 
Mada nzito hii kuchangia ngoja nisome comments.....
 
"Kiukweli sina mpango wa kuoa mwanamke ninaye lingana naye umri. Maana mwanamke mwenye 30 yrs sana sana amebakiza miaka 10 tu ya kuwa active kwenye 6*6. Baada ya hapo K inaanza kusinyaaa

Mimi nina 30 mpk nikafikishe 60 huko ni leo? Kwahiyo unakuja unajishebedua, unajituma lkn mie moyo wangu upo kwa mdada mwenye 21.

Nashindwa kukuambia ukweli kwamba mm naburudika tu kwako, maana jinsi unavyo shoboka nahisi ukiambiwa utapiga yowe la nguvu na kuzimia kabisa.

Wito kwa wadada wenye umri mkubwa tafuteni wazee wa miaka 60 wanaotaka kuongeza wake. Vijana huwa tunaongeza CV tu". Alijitapa mkware mmoja huku uswazi.

Jumapili njema.
Dude u sound like 13yrs old....
 
Kiukweli ujumbe umefika lakini dhana uliyotumia siyo
 
Mwanaume suruali nani akutake wewe unaishi kwa wazazi unamiaka 30 fyuuuuu kwataarifa yako kuolewa mkosi tu skuiz mijitu ishajipigia punyeto paka limelegea utafkiri la babu mzee kuliamsha paka lisimame masaa matatu alafu goli lenyewe moja bora nisiolewe tu
 
Back
Top Bottom