Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Mkuu..

Wewe endelea kufurahia 6*6 wenzako wanafurahia maisha ya furaha , ushirikiano na maelewano ya hali ya juu ndani ya familia. Ndoa ina ubabe wa siri hasa unapoitazama kwa jicho la la mwewe, jicho la tamaa ya ngono, jicho la kiswahili swahilii....
 
Umeandika uongoooooo

Kama haumtaki sio lazima kuweuka na kuandika upupwu kusingizia.
Then ina mauz kweli alivyooandika. Angemuacha tu kimya kimya. Duuuh wakaka wengine jmn? Kwa hiyo humpendi mtu unakaa nae tu kumu enjoy? Either you are getting something from her or expecting to otherwise umeonyesha jinsi ulivyo na akili ambayo ni ya kivulana
 
Mkuu..

Wewe endelea kufurahia 6*6 wenzako wanafurahia maisha ya furaha , ushirikiano na maelewano ya hali ya juu ndani ya familia. Ndoa ina ubabe wa siri hasa unapoitazama kwa jicho la la mwewe, jicho la tamaa ya ngono, jicho la kiswahili swahilii....
Thanks mkuu
 
Back
Top Bottom