Wewe dada nakuhurumia... 30 yrs!

Mimi nna wasiwasi huyu hana hiyo miaka 30!!!
Mwanamke nae akikubali kuolewa na wewe kwa kigezo cha 6*6 tu sijui itakuaje pale ambapo dudu yako itakaposhindwa kazi!!!
Mküu unaniangusha. kwani wewe umekuwa taahira? mwanaume ni kichwa cha nyumba. Kichwa kinabeba ubongo. Ubongo kazi yake kufikiria. ukishindwa hayo fanya umario tu
 
Risk tofauti na uzee. Ninachosema mwanamke mwenye 30 kibaolojia kishazeeka ktk masuala ya uzazi na ngono
Ntakuelewa kwenye uzazi mkuu!!! Ndo maana nasema kama unataka mwanamke wa kukuzalia timu ya mpira basi hao 18 ndo bora kwako!!! Ila jwa wanaohitaji watoto watatu wanaweza patikana ndani ya miaka 10. Wanaume wenzako wanataka watoto wachache sikuizi.....
 
Ndo hawa wanakuja kutuletea threads baadae... Ooh mke wangu ni mchafu... mke waku hajui kupika... Mke wangu hajui kupanga bajeti... Mke wangu anawasiliana na ex wake...
 
Nasikia Harmorapa alitaka kumposa Wema!!?
 
nimekupata Mkuu. Ila inahitaji moyo. Unaenda dukani kwa mangi unatoa hela yako kununua soda unapewa soda iliyo expire. Sawa.
 
Mküu unaniangusha. kwani wewe umekuwa taahira? mwanaume ni kichwa cha nyumba. Kichwa kinabeba ubongo. Ubongo kazi yake kufikiria. ukishindwa hayo fanya umario tu
Utaahira wangu umetokea wapi??? Alafu pitia post zangu zote sijatumia maneno ya ajabu ko tafadhali kama unadeal na mimi husitumie lugha mbovu mkuu!!!
 
Ngojea ufike miaka 40 hiyo mashine yako ife ndio utakapojua huyo wa miaka 21 uliomchukua kuwa ulikosea na bora ungechukua wa umri wako,omba uzima tu ndugu,usimkufuru mwenyezi Mungu.
 
nimekupata Mkuu. Ila inahitaji moyo. Unaenda dukani kwa mangi unatoa hela yako kununua soda unapewa soda iliyo expire. Sawa.
Ata kanga zina rejects ila bado wanunuzi wapo!!! Kama hutaki hao unaowaita rejects kuna ambao wanajua kazi zao ndo maana wanawataka
 
Ngojea ufike miaka 40 hiyo mashine yako ife ndio utakapojua huyo wa miaka 21 uliomchukua kuwa ulikosea na bora ungechukua wa umri wako,omba uzima tu ndugu,usimkufuru mwenyezi Mungu.
Good point!
 
Utaahira wangu umetokea wapi??? Alafu pitia post zangu zote sijatumia maneno ya ajabu ko tafadhali kama unadeal na mimi husitumie lugha mbovu mkuu!!!
Mkuu unanihukumu bure sikukulenga wewe. Labda kosa langu ni kutumia nafsi ya pili ktk uandishi. Na kwakuwa nilikuwa najibu komenti yako umeitafsiri kana kwamba nakuattack wewe. Naomba usome tena. Sina tabia ya kuattack personalities za watu. Yote kwa yote sorry. Ila naomba uisome tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…