Tuko
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 11,180
- 7,356
- Thread starter
- #161
Kama hujapewa kikwapa cha cheusi mshukuru Muumba wako...La sivyo tutakuombea upate......Siku zote mtu kama hajaexperience kitu huweza kuongea saaana ila akiexperience hunyamaza.....
Kikwapa kuwa cheusi si uchafu pekee, husababishwa na mambo mengi...Ikiwa ni aina ya Deodorant zinaharibu, Body spray, Viwembe nk.
Hivyo vyote vinavyosababisha vinazuilika mbona...