Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

Kama lusinde anavyoiaribu miccm
 
Acha ugoro ndugu, we mpuuzi na tasa wa kufikiri! Angalia chanzo nini ndipo utoe maoni! Issue hapa ni wizi wa fedha za walipa kodi! tetea nchi yako acha kutetea upumbavu na laana.

werema ametoa ushaidi kuwa pesa hizo sio za serikali ni za watu binafsi waliziweka.hapo unaona ulivyo pimbi wa kufuatilia mambo kwa kina. vijana wengi ushabiki wa siasa bila kujenga hoja umewaharibu na kuanza kutoa matusi kama KAFULILA
 
Werema hakufaa kabisa kuwa na wadhifa alionao! ongea yake, tembea yake, sura yake na haiba yake alitakiwa awe dereva wa malori ya kwenda Congo!
 
Tunataka atuelezee billion zetu amezipeleka wapi siyo kutwambia eeti anawatoto sisi haituhusu bana ajibu hoja yeye alivyomuita mwenzake ni tumbili kujibiwa kuwa na yeye ni mwizi ndiyo kosa pumbavu Werema..

Ukitaka uone mateke ya Punda basi mtie kijiti nyuma...ndio ya Werema hayo!
 
Kwani kuitwa mwizi katukanwa, huo si ndo ukweli. Mwenzake Chenge alijulikana kwa 'vijisenti', yeye atajulikana kwa kuita mbunge Tumbili na kuitwa Mwizi, basi. Yeye anaona shida gani?
 
Na kama werema angekuwa mzungu watz wangeandamana kupinga kauli ya kibaguzi. Hivyo waafrika haswa mjinga werema ni racist na werema sasa namchukia sana tena sana!

Inawezekana kabisa Warema kishagundua hiyo mistake sasa anatake advantage ya hii ya Mwizi ili kunutralize mambo. Mtu na heshima zako huwezi kumuita au kumfananisha binadamu mwenzio Tumbili tena kwenye ukumbi wa bunge. Tumeona ni jinsi gani haya mambo ya Tumbili yalivyozua kizaazaa kwenye La Liga last season. Kwa vile Warema ni Mwafrika siyo kuwa remark kama hii ichukuliwe juu juu tu. Imagine kama Kafulira angemwita Warema Tumbili ingekuwaje. Kama ni kweli anataka kujisafisha kwa nini yeye kama Mwanasheria Mkuu wa serikali asiishauri serikali sikivu ya CCM kuunda tume ili tujue ekweli. Aswhat you have said ............... hii remark ya Warema ni recist recist remark. Period!!!
 
Kwani kuitwa mwizi katukanwa, huo si ndo ukweli. Mwenzake Chenge alijulikana kwa 'vijisenti', yeye atajulikana kwa kuita mbunge Tumbili na kuitwa Mwizi, basi. Yeye anaona shida gani?

Halafu mkuu kwa mtu kama werema kwa nafasi aliyonayo alitakiwa awe na busara achunge mdomo wake
Sasa kama amesema anataka kichwa cha kafulila na ikatokea hata kafulila akafa ghafla kwa maradhi yake hiyo itakuwa moja kwa moja imemuhusu werema
La maana sasa hivi ni werema kulinda kafulila maana akipwatwa tu na tatizo kwa kipindi hiki tunaye!
 
Ni kweli werema ni janga la taifa. Mi nashindwa kuelewa hivi mh Dr JK mbona wateule wake karibia asilimia kubwa wana upungufu wa maadili? Au ni kwa kuwa ni usalama wa taifa wanajua wao ndiyo mamlaka? Au usalama wa taifa hawajui public ethics? Ukweli hatujawahi kuwa na wateule wa rais wenye kukosa uwezo wa kufikiri kama hawa wateule wa Dr
 
Werema najua unapita humu, nasema hivi wewe ni kima tu na ukivimba na mimba yako njoo nikufanyie upasuaji mdogo.
 
Werema najua unapita humu, nasema hivi wewe ni kima tu na ukivimba na mimba yako njoo nikufanyie upasuaji mdogo.

Pia nadhani hata nyani au kima kama linamfaa pia!
 
werema mfanano na uongeaji wake ni wa kipigaji pigaji!lile likurya ni jizi hata kasisi anaweza kutusaidia ushuhuda..
 
Pia nadhani hata nyani au kima kama linamfaa pia!

yote sawa tu ila najua atapita humu na atayakuta majina yake halisi kama nyani, kima, sokwe, mbweha, mbwa koko na mengineyo kama hayo. Pumbavu kabisa huyu mnyama kutukana na kutishia walipa kodi.
 
Actually, Warema ndiyo kamtukana zaidi Kafurira kwa kumfanananisha na Tumbili ......................... yaani kamvua utu wake kabisa. Kuitwa Mwizi hakukutoi utu wako bali heshima...................... sasa kama hataki usuluhishi si atake actions!!

Kwani Werema akimuomba radhi Kafulila na watanzania kwa ujumla haoni kuwa atakuwa amepunguza maswali ambapo kwa sasa wengi wanataka kujua ni kwa nini alitukana. Bila shaka kama sio mwizi kwa nini kashindwa kudhibiti hasira yake?
 
Kuwa na watoto si kibali cha kumdhihaki mtu na kumwita 2mbili,kama kigezo cha kutukani lazima uwe na watoto,wazee wote wangekuwa wanahaki ya kutukana watu ovyo!
Kafulila hongera iyo ndio dawa ya kuwapanikisha wezi na akaembali na vijana!
maana alishazoea kuleta zarau toka kipindi alipomuliza h.mdee wewe ni wa kium au kike?😛eep:
 
Werema najua unapita humu, nasema hivi wewe ni kima tu na ukivimba na mimba yako njoo nikufanyie upasuaji mdogo.

chadema wote hamna akili kabisa huwezi kumtukana mtu mzima na kiongozi wetu mtukufu. umekulia malezi mabovu sana
 
Back
Top Bottom