Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Werema: Nina watoto halafu natukanwa?

Tunataka atuelezee billion zetu amezipeleka wapi siyo kutwambia eeti anawatoto sisi haituhusu bana ajibu hoja yeye alivyomuita mwenzake ni tumbili kujibiwa kuwa na yeye ni mwizi ndiyo kosa pumbavu Werema..
 
na je kama una sura kama ya tumbili ukaitwa tumbili nalo ni tusi?

Hamna tumbili anapewa dhamana na binadamu kuwaongoza
Au na wewe umejitoa ufahamu ukasahau Kafulila ni mbunge wa kuchaguliwa?
Jiongeze kifikira mkuu!
 
Mungekuwa munawaheshimu watoto wenu musingekuwa munalopoka ovyo ovyo,mbona munakula rushwa bila hata kujali watoto wenu kesho watakuwa wapi, WEREMA wakati unamuita mwenzio tumbili wewe hukujua kama una watoto, pili siamini kama watoto eako werema wamesikia coz wako ughaibuni,mungekuwa mnazingatia maadili na kuwaogopa watoto wenu je yanayo fanyika na kusemwa ndani ya bunge la katiba mbona hamuyasemi....WEREMA NA SERIKALI YENU YA CCM WOTE WEZI TENA MAGAIDI

Hawa si ndio wale INTERAHAMWE? Wanakata watu vichwa!!! Mweye asili yake haachi. Huoni wale watesaji wa Ulimboka wakina IGHONDU mpaka leo wapo kazini kuwang'oa watu kucha!!
 
Actually, Warema ndiyo kamtukana zaidi Kafurira kwa kumfanananisha na Tumbili ......................... yaani kamvua utu wake kabisa. Kuitwa Mwizi hakukutoi utu wako bali heshima...................... sasa kama hataki usuluhishi si atake actions!!

Na kama werema angekuwa mzungu watz wangeandamana kupinga kauli ya kibaguzi. Hivyo waafrika haswa mjinga werema ni racist na werema sasa namchukia sana tena sana!
 
TAFRANI iliyojitokeza bungeni juzi kwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali Frederick Werema kumuita Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila(NCCR Mageuzi) tumbili, naye kumjibu kwa kumuita mwizi imeingia katika hatua nyingine ambapo wawili hao wamekataa kusuluhishwa.

kwaiyo Werema ameona solution pekee ni kumuua Kafulila kwa kumkata kichwa??
 
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

Mmarangu umekosa kisusio nini hadi umepoteza ufahamu?
 
Mungekuwa munawaheshimu watoto wenu musingekuwa munalopoka ovyo ovyo,mbona munakula rushwa bila hata kujali watoto wenu kesho watakuwa wapi, WEREMA wakati unamuita mwenzio tumbili wewe hukujua kama una watoto, pili siamini kama watoto eako werema wamesikia coz wako ughaibuni,mungekuwa mnazingatia maadili na kuwaogopa watoto wenu je yanayo fanyika na kusemwa ndani ya bunge la katiba mbona hamuyasemi....WEREMA NA SERIKALI YENU YA CCM WOTE WEZI TENA MAGAIDI

Tuanze kigoma kuwaondoa hawa watu watatuibia hadi hii gesi ya Mtwara hebu angalia walivyojenga bomba haraka toka Mtwara mbona wananchi tunashida ya maji haiwi haraka hivi.
 
Likewise kama una watoto jihadhali na matamshi yako. Ukitoa matamshi tatanishi utajibiwa kwa matamshi tatanishi!

kwahiyo kuwa na watoto ndo uwe mwizi au hao watoto wake wana roho mbili mbweha kabisa.
 
Chadema wameshamuharibu kafulila kutoa lugha chafu bungeni. Alikuwa ana maadili sana huu muungano wa ukawa utawaharibu na wabunge wa cuf pia. Chadema wanabomoa maadili ya watanzania

chadema wanamaadili mabovu wamewahi kumfakyuu mamayo!
 
kwaiyo Werema ameona solution pekee ni kumuua Kafulila kwa kumkata kichwa??

Nadhani kwa upande wake kaona hilo ndilo jambo la busara zaidi
Ila siku zote ukweli unauma yeye kamwita Kafulila tumbili kafulila hajafikiria kumdhuru
Ila yeye kuambiwa ukweli kuwa ni mwizi amepaniki anataka kuuwa
Yani werema amechoka sana kimawazo hata ile nafasi yake JK inabidi aitazame upya!
 
Back
Top Bottom