Hatuna jeshi ni kitengo cha CCM
Kwahiyo course zao huwa ni siasa Mkuu siyo?Aisee! ni wapi huko Mkuu? tusaidie nchi yetu, unaweza kusaidia sana!

Wameacha hata kulinda mipaka yetu kumbe!Hatari sana
wahamiaji Haram kibaaaaoWameacha hata kulinda mipaka yetu kumbe!
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri
2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,
Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi
3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,
Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?
Britanicca
wamefanana na wenzao mapolisi, policcmHawa ndio wamekuwa wapumbavu kabisa.
No 3 Ndio sababu ya hili andiko.weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri
2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,
Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi
3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,
Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?
Britanicca
Nenda ngome kaulizeweredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri
2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,
Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi
3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,
Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?
Britanicca
Heshima inakuja ukijiheshimu..wao wenyewe hawajiheshimu, vp wengine tuwaheshimu..hawako na wananchi hata hilo jina waache kulitumia.🤔jeshi kamateni hawa wana dhihaki jeshi letu, ata kama nila mchongo liheshimiwe
Ndio mlilobaki kusifia majina tu..vitendo sifuri!Nenda ngome kaulize
Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri
2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,
Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi
3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,
Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?
Britanicca
Kwani Iran ni Africa?Kwa nini nchi masikini zaidi duniani zipo kusini mwa jangwa ala sahala na 80% ya population yake ni wakristo?
Kwa nini Zanzibar Ina WAISLAM 99% na rasilimali zake za mafuta na gesi,sil Mali ya muungano na rais mzanzibar yupo hapa anatawala na anauza migodi na rasilimali za bara kama mbuga ya kwa bei ya kutupa?,huku per capital ya Zanzibar ikiwa ni $2500 huku ya Tanganyika ikiwa ni $1200
Kwa nini ISLAMIC REPUBLIC OF IRAN na ISLAMIC REPUBLIC OF AFGHANISTAN wanamiliki rasilimali zao,100%
Siku hizi wanasema vita inapiganwa kwa akili sio misuli😀Kweli mkuu kuna siku nilikutana na kundi la Wanajeshi wanafanya mazoezi ya kutembea nilivyowaangali yani Tanzania hatuna jeshi la kupigana na Nchi jirani, Yani Askari wetu wana vimwili vidogo vidogo yani hawana Muonekano wa Kiaskari, Jeshi letu liliishia mwaka 1998 kurudi Nyuma, Kuna dogo aliniambia kuna mzee alimwambia atoe Milioni 4 ili amuingize jeshini dogo akawa hana pesa akaniambia kaambiwa Milioni 4 kwasababu hajapitia JKT , Mgambo na JKU ya Zanzibar. Yana Sasa hivi Majeshi yetu yana Askari wa Mchongo mchongo tu, Yani awamu ya Magufuli aliwapiga pini ya Ukweli hakutaka Majeshi yetu yaokote Vijana mitaani. lakini awamu hii Shamba la bibi kijana yoyte anaingia jeshi na siyo lazima upitie JKT kulima sasa unaweza ukakaa Nyumbani unacheza singeri Ajira zikitangazwa unatoa pesa au kama una mkubwa unaingia Jeshi lolote.
😆😆Kwani Iran ni Africa?
Jeshi ni IRGC tu lipo kulinda rasilimali za IRAN,hii JWTZ kazi wanayoiweza ni kulinda rasilimali za CCM tuweredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri
2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,
Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi
3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,
Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?
Britanicca
hapo ni hatari,maana mtu aliyenunua nafasi hawezi kuwa na uchungu na nchiKweli mkuu kuna siku nilikutana na kundi la Wanajeshi wanafanya mazoezi ya kutembea nilivyowaangali yani Tanzania hatuna jeshi la kupigana na Nchi jirani, Yani Askari wetu wana vimwili vidogo vidogo yani hawana Muonekano wa Kiaskari, Jeshi letu liliishia mwaka 1998 kurudi Nyuma, Kuna dogo aliniambia kuna mzee alimwambia atoe Milioni 4 ili amuingize jeshini dogo akawa hana pesa akaniambia kaambiwa Milioni 4 kwasababu hajapitia JKT , Mgambo na JKU ya Zanzibar. Yana Sasa hivi Majeshi yetu yana Askari wa Mchongo mchongo tu, Yani awamu ya Magufuli aliwapiga pini ya Ukweli hakutaka Majeshi yetu yaokote Vijana mitaani. lakini awamu hii Shamba la bibi kijana yoyte anaingia jeshi na siyo lazima upitie JKT kulima sasa unaweza ukakaa Nyumbani unacheza singeri Ajira zikitangazwa unatoa pesa au kama una mkubwa unaingia Jeshi lolote.
Kama watu wanaingia kwa kuhonga, wanaachaje kutumika na wanasiasa?weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri
2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,
Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi
3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,
Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?
Britanicca
Tatizo kubwa sana hiloKama watu wanaingia kwa kuhonga, wanaachaje kutumika na wanasiasa?