Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
weledi:KasugaYeah:

weredi:1Head:
 
Buti kubwa, kombati na kupasua matofari kwa kichwa.
 
Upotoshaji uko wapi hapo?
Hao wanajeshi wanagombea mabwana na mademu tu hakuna lolote wanalofanya..!!

Au sababu wanawabeba nyie veggies mnaona wanafanya kazi?

Uachage kiedemswede wewe kipeuo cha pili 😏
hiyo ni porojo ndugu mdau,
maafisa usalama wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nchini, ni weledi mno wakiwa katika majukumu yao ya kiusalama, lakini ni weledi zaidi wanapochangamana na jamii zinazowazunguka.

huenda hao walikudanganya tu kua ni wanajeshi lakini sio.
Weledi na nidhamu ya maafisa wa majeshi wa yote Tanzania haujaribiwi wala kuyumbishwa na masuala ya kingono :pulpTRAVOLTA:
 
Wee shangingi tulia hujui kitu..!!
 
Nadhani ni tofali la block hapo wapo vizuri
pili gwanda wakikukuta raia umevaa jezi yao utapigwa kama mbwa mwizi
tatu ni kuchukua mademu wa raia na ubabe ubabe uklmpiga mmoja wanakuja rundo

Mapimbi hawa
wajeda gani 29oct wakaua raia wao wenyewe mapimbi hawa!
Mengine yanawezekana ikawa kweli ila swala la tofali hata SF operator wa SAS, SPETNAZ, KAIBIL, n.k wanafanya ni vitu ambavyo kwa physical training ni lazima huwa mnaniangusha sana kukimbilia hilo.
 
Dah,
Halafu unakuta mtu kama Wasira aliyekuwa RC in the 1970s huko bado yupo madarakani leo, na ni moja ya Think Tanks wa taifa. Si ajabu karibu kila mipango inabuma.

Tatizo mojawapo ni vikundi vya wahuni, mafisadi, waovu.. kung'ang'ania madarakani kwa gharama zote ikiwemo mauaji ya wananchi hata kama hawatakiwi na umma
 
Aisee mimi kijiji kwetu kuna vijana zaidi ya 50 wameenda jeshini kwa kuhonga 1M na zaidi kisa tu anatoka mkubwa mmoja wa jeshini na mmoja wa siasa.

Wengi walioenda ni wale felia
Vijana wengi wanapitia mgongo wa wana siasa maana ukiwa na ndugu yako ni DAS,DC RAS au RC basi umetoboa JKT ukitoka JKT umetoboa JESHINI.
Aisee! ni wapi huko Mkuu? tusaidie nchi yetu, unaweza kusaidia sana!
 
Back
Top Bottom