Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
USA ni moja ya nchi yenye majeshi na ujasusi wa juu sana lakini ni Taifa linaro ongonza kwa jinai(crimes),abductions,disappearances, etc
Pia inayokumbana na wahamiaji haramu kuliko Tanzania
Pia ni nchi iliyoshindwa kulinda hanga lake mpaka ikashambuliwa na AL QAEDA
KARIBU
 
Zamani kwenda jeshini kulikua na vigezo vingi sana hasa ukakamavu, uzalendo hukuti jeshini habari za rushwa na kashfa za hovyo.
Siku hizi kama hauna kadi ya CCM, huendi TISS , Hupewi cheo.
Yaani jeshi na greenguard ni ngumu kuwatofautisha vitoto vimerendemka, nikiwa Dodomu kuna mwanajeshi wezi waliingia kwake na akapiga yowe kuomba msaada, zamani ukisikia kwa mjeshi mnaogopa hata kwenda kuiba mboga za majani.

hiyo ni porojo ndugu mdau,
maafisa usalama wa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama nchini, ni weledi mno wakiwa katika majukumu yao ya kiusalama, lakini ni weledi zaidi wanapochangamana na jamii zinazowazunguka.

huenda hao walikudanganya tu kua ni wanajeshi lakini sio.
Weledi na nidhamu ya maafisa wa majeshi wa yote Tanzania haujaribiwi wala kuyumbishwa na masuala ya kingono :pulpTRAVOLTA:
relax bas muerevu na mjuaji,
ila usiwapige kamba sana wadau wa JF na itapendeza zaidi

maana kwa kamba tu jukwaani, una kipaji :1Head:
Sidhan kama kinyeo chako kina seald
 
Back
Top Bottom