Weledi wa Jeshi la Wananchi JWTZ unapimwaje?

weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca

Jeshi na vyombo vyote vya dola ni taasisi za CCM Kama huelewi , na ndio wakawa mstari wa mbele kulazimisha CCM ishinde chaguzi zote.
 
Je huyo mwanajeshi ni mstaafu au wanasema bado yuko kazini?
Kwenye Maigizo yap wanasema ni mstaafu, wakati Ma Brigedia wote walipambania nchi wote hawapo Duniani, Brigedia Moses Nauye Mayunga mti mkavu, Major General Marwa kambare mamba, Hasheem mbita, Kiligiti, General kiaro, Msuguri, Huyu Shujaa wao ni wa mchongo kwasababu Mkuu wa majeshi mstaafu Robert Mboma wakati wa vita ya Uganda yeye alikua Rubani wa ndege za Kavita alienda kushambulia Uwanja wa ndege wa Entebe na mpaka leo yupo hai sema umri umekwenda na anatembea kwa shida, ila huyu Shujaaa wao wa mchongo ansonekana umri bado upo vizuri
 
Wahuni wakubwa hao. Kama alikuwa brigedia wakati wa hivyo vita anapaswa kuwa juu ya miaka 75, maana ilikuwa nadra kuwa brigedia enzi hizo ukiwa chini ya miaka 35, ukijumlisha na hii 46 baada ya vita, anapaswa kuwa ni mzee wa kujivuta. Kama bado ana nguvu ina maana huo ni usanii wa wazi.
 
weredi wa jeshi lolote duniani upimwa kwa global firepower kulingana vita wanazipigana au kama Hawako vitani basi
1. Walinde Mipaka, ila Mara kadhaa tumeona wahamiaji haramu wengi wako Tanzania wengine kupitia mipakani kinyemera, na pili utoroshwaji wa baadhi ya rasilimali kupitia mipakani umekithiri

2. Walinde Raia(wananchi), Tanzania jeshi lake halilindi raia wao ni kusubiri maelekezo ya wanasiasa tu, na kazi kubwa sana wanayofanya ni kusaka Uniform zao mitaani basi, au kuwagalagaza kwenye maji wananchi wanapotofautiana nao, tumuombe Mungu miaka hii ya Karibuni tusiingie vitani na nchi yeyote hata Rwanda tu, watatugalagaza vibaya mno, jeshini kumekuwa ni kazi si wito tena, mtu ni mwanajeshi kisa kakulia kambini au kisa mtoto wa fulan, ulevi umekithiri, Nina Mifano halisi ya watu zaidi ya 20 walioingia jeshini kwa kuhonga sh 700,000 kila mtu, yaan imekuwa ni dili kupachikana,

Jeshi lingejua wajibu wake hakuna mtu angetekwa, imefika hatua hadi mwanajeshi mwenzao Tesha wamemteka wao wapo tu kung’arisha viatu Kwenda lugalo na kisarawe basi

3. Jeshi linapaswa kushika hatamu kama uongozi wa nchi husika unaenda ndivyosivyo, la kwetu linamlinda muovu wa madaraka
Hivi sasa jeshini kuna machawa Mpaka wanatumia salamu za CCM,

Hivi weredi wa jeshi tutauangalia kwa vigezo gani ?

Britanicca
Unapimwa kwa kuwa General mwenye bei iliyo kwenye billboard
 
JWTZ ni bora katika kipengera cha kula na kunya makambini tu ..this is naked truth.
 
Hakuna Jeshi hapo.

Ni MILITIA ya wahuni hapo, kina Abdul, Samia na Haji Omar Kheir.
 
Wanajeshi wanagombea wanawake bar na raia 😹
Hili jeshi letu la hovyo kweli..!!
Ikiwa kuna mwanajeshi aliyekiuka maadili au sheria, anapaswa kuwajibishwa kwa mujibu wa taratibu husika. Hata hivyo, ni vyema kuepuka kutoa hitimisho kwamba jeshi zima ni "la hovyo" kwa msingi wa tukio moja au simulizi lisilothibitishwa
 
Wahuni wakubwa hao. Kama alikuwa brigedia wakati wa hivyo vita anapaswa kuwa juu ya miaka 75, maana ilikuwa nadra kuwa brigedia enzi hizo ukiwa chini ya miaka 35, ukijumlisha na hii 46 baada ya vita, anapaswa kuwa ni mzee wa kujivuta. Kama bado ana nguvu ina maana huo ni usanii wa wazi.
Wahuni hao % 99 walipigana vita ya Kagera wamefariki na waliobaki ni Wazee sana tena walio hai ni Wakuu wa Majeshi Robert Mboma , Kiwelu.
 
Mimi nadhani wakati ufike tuunde Jeshi la kulinda:-
1. Wananchi na mipaka ya Nchi.
2. Haki za kikatiba za wananchi.
3. Rasilimali za Nchi.
4. Katiba ya Nchi.
NB:- Jeshi hilo litakuwa na wajibu wa kuwalinda wananchi dhidi ya udhalimu wa watawala wao. Yaani, watawala wasiwaonee wananchi wake lakini pia wananchi wasiwaonee watawala wake.
 
Back
Top Bottom