Wenzetu wanvyofanya (pics only) | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wenzetu wanvyofanya (pics only)

Discussion in 'Jamii Photos' started by Game Theory, Apr 6, 2009.

 1. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #1
  Apr 6, 2009
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  seikali zao zikiwaboa basi hawaoni taabu kuingia mitaani
  [​IMG]

  [​IMG]


  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]

  [​IMG]


  siku wakiamua kujenha AIRPORT hakuna cha watu wa mazingira wala nini wao wanajenga mengine baadae


  Beijing Capital International Airport Terminal 3 (T3)
  -the world's largest stand-alone structure

  Total Investment: 25 Billion Yuan
  Project Duration: 2004 - 2008
   
 2. M

  Mkandara Verified User

  #2
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  GT,
  Ehhhh bwana weee... Daadadeki Mchina!
   
 3. Andindile

  Andindile JF-Expert Member

  #3
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 18, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Si muda mrefu tutaanza kwenda kuficha vijisent huko china.
   
 4. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #4
  Apr 6, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Dah..tanzania weeeee nakulilia maana hata umeme bado wa mvua :(
   
 5. Mchaga

  Mchaga JF-Expert Member

  #5
  Apr 6, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 1,371
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  airport yetu kwa hii nadhani itakuwa ni store...
   
 6. A

  Alpha JF-Expert Member

  #6
  Apr 6, 2009
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 614
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Tanzania is so far behind it's sad.

  Countries that were at the same level or not far from us 50 years ago have left us in he dust.

  It's unfortunate but the incompetence of our leaders and the stupidity of the citizens who continue to elect them has been our death and will continue to be our death.
   
 7. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #7
  Apr 6, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Halafu tunaendelea kushangilia kwa nguvu sana, CCM ndiyo baba, ndiyo mama eeeeh...... JK hoyeee, JK hadi 2015....!!!! Teh teh teh!!!
   
 8. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #8
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Tumelala sana,its time nyie wa ulaya muache kutuma picha,mje kujenga nchi na hizo akili za kuiga,:)
   
 9. Dark City

  Dark City JF-Expert Member

  #9
  Apr 6, 2009
  Joined: Oct 18, 2008
  Messages: 16,277
  Likes Received: 241
  Trophy Points: 160
  Mkuu mbona unatoa mpya? Waje kujenga nchi wakati sisi tunaendelea kuila tu bila huruma?? Nilidhani ungewambia kuwa sisi tuliopo nchini tumeacha wizi na ufisadi, kwa hiyo njooni tujenge nchi yetu. Lakini kama ni kujenga nchi ambayo wachache wanaendelea kuinajisi haina maana yoyote.Kama yawezekana mimi ningeomba nikae kando!!
   
 10. Mpendanchi-2

  Mpendanchi-2 JF-Expert Member

  #10
  Apr 6, 2009
  Joined: Apr 4, 2009
  Messages: 305
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Itakuwa banda la kuku wala siyo store, store kama zile za Jomo Kenyatta Nairobi. Watu hata ndege hamna uwanja wa nini!!!
   
 11. J

  Jamco_Za JF-Expert Member

  #11
  Apr 6, 2009
  Joined: Jul 14, 2007
  Messages: 1,315
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Pamoja na viongozi wetu kuwa wezi na wala rushwa lakini ni vigumu kuinvest vast money kwenye project kama hii wakati ndege zenyewe hatuna, hile terminal 2 yenyewe haiwezi kujaa halafu tujenge mwingine wa nini.
   
 12. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #12
  Apr 6, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,579
  Likes Received: 3,882
  Trophy Points: 280
  uwezo tunao, tunahitaji rais aliyechanganyikiwa! ambaye anaweza kutuvalisha nguo, kwa sasa tuko uchi.kila tusemacho , tuwazacho, tunachohubiri haviendani na ukweli.
   
 13. M

  Mkandara Verified User

  #13
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Jamco_za,
  Mkuu sio lazima tujenge uwanja kama huu ila jamani nasikia siku hizi hata ile mikonga ya abiria kuingia/kutoka ndani ya ndege pale JKN sii yote inafanya kazi..
  Nchi yetu ina ndege sijui ngapi? (2) zinazoruka, lakini check hesabu ya wafanyakazi! Hivi kweli tunahitaji fedha na wataalam hata ktk maswala kama haya!
   
 14. Tusker Bariiiidi

  Tusker Bariiiidi JF-Expert Member

  #14
  Apr 6, 2009
  Joined: Jul 3, 2007
  Messages: 4,757
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  Terminal 3 inasubiri serikali ilipe fidia wakazi wa Kipawa JOB TRUE TRUE....
   
 15. Semilong

  Semilong JF-Expert Member

  #15
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 5, 2009
  Messages: 1,711
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  si mlikataa ujamaa wa mchina
   
 16. D

  Darwin JF-Expert Member

  #16
  Apr 6, 2009
  Joined: May 14, 2008
  Messages: 908
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Bwahaaaaaaa sasa nimejua nikwanini JKN na KIA haparuhusiwi kupiga picha.

  Wanaona kwamba watachekwa na wachina
   
 17. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #17
  Apr 6, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,390
  Trophy Points: 280
  sasa na uwanja mpya wa Kimataifa wa Songwe na ule wa Bagamoyo hamvitaki?
   
 18. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #18
  Apr 6, 2009
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kwanza nianze kwa kusema, asante sana GT kwa kutuwekea hilo dude hapa. Lazima nikiri kuwa nilisikia tu kuwa Norman Foster na hii kampuni ya Foster + Partners walikuwa kazini wakifyatua kitu kipya huko China baada ya kumaliza lile daraja refu duniani la Wafaransa liitwalo Millau Viaduct. Huyu Foster kila sehemu huwa anakwenda na kuweka matusi yake. Ila pana wakati anaujinga wa kulazimisha mambo na hapo huleta kasheshe kwa wahandisi wa majengo kwani wahandisi huwa hawana materials ya kujenga hicho alichokichira.

  Mwanakijiji, hapa sasa ndipo unakuja kwenye hili swala ambalo tulishaliongelea zamani. Kwa Dar es Salaam, ni makosa sana kuihamisha JKN (DIA) na eti kwenda kujenga Bagamoyo au Songwe. Kama nachagua wapi pa kutua basi ni bora nilipe zaidi nitue JKN kuliko kwenda kutua Bagamoyo. Niseme natoka Tabora kwa ndege ni masaa mawili na nafika Bagamoyo. Nikitoka hapo hadi Dar, sijui masaa mangapi kwa gari. Hiyo inakuwa biashara kichaa. Utakuja kuta huo uwanja wa ndege mpya hauna wateja. JKN kwanza tayari iko nje ya mji. Walifanya makosa sana kuchukua eneo dogo miaka hiyo wanajenga. Hata Dodoma, wangelichota eneo kubwa sana km kama 10 nje ya mji. Sasa hivi unaweza kukuta zikaingia fidia kwa wagogo waliojenga maeneo hayo. Sijui kwa nini huwa hatupandi mambo kwa kufikiria watoto wetu. Planing ya miji yenye barabara kubwa, maji machafu nk ilianza Ulaya miaka ya 1950 huko. Wakati huo Tanzania haijaanza kujengwa. Sijui kwa nini wakati miji inapanuka, wao hawakulifanyia hilo kazi.

  Ukiangalia huu uwanja wa Wachina, walichofanya ni kuujenga pembeni mwa uwanja wa zamani. Tofauti pekee niliyoina ni kuwa uwanja wa zamani uko degree 180 (imeandikwa 18) ukisoma kufuata mwendo wa mkono wa saa kutoka kaskazini. na ule mpya ni degree 190 (soma 19). Uwanja wa ndege wa Dodoma naweza kukubali kuwa uko mjini saana. Ila sijui wazo la kujenga uwanja mpya Msalato, huko nako haitakuwa mbali sana. Ila mji unaweza kukua kwa kasi kama watahamiwa Capital City. Ila bado itabidi kuweka uwanja mwingine mdogo upande wa kusini mwa Dodoma.

  Kiwanja cha JKN ni kizuri sana mtu asiwadanye. Kwa mahitaji yetu ya sasa na idadi ya abilia kinatosha. Sema pale kuna mpangilio mbaya sana kwa wasafiri na ndugu wa kusindikiza. Sehemu ya kusubiri ndege padogoo. Zikikumbana ndege mbili kubwa basi tayari pamejaa. Ilitakiwa paongezwe na eneo hilo liwe na maduka mengi. Ila sasa hivi ni machache tu ya Wahindi. Wasafiri na ndugu zao hamna sehemu ya kukaa ni kusimama tu hadi miguu inatumbukia ndani. Inatakiwa kupanua majengo, kuongeza urefu wa kiwanja che kutua na kupaa ndege hadi kiwe na walau km3.5 kwani dude kama Antonov linahitaji kiwanja kirefu. Mungu bariki A380 (Airbus) haihitaji umbali mrefu kuruka. Waweke mauwa kidogo pale, AC, solar panels (kusolve ghalama za umeme), viti vya kukalia nje nk. Nakumbuka miaka ya 80 tulikuwa tukienda Airport mapema kwenda kupokea ndugu na mtakaa kwenye vimigahawa na kunywa au kula. Sasa hivi hamna... looh, tunarudi nyuma.
   
 19. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #19
  Apr 6, 2009
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,651
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Ingenuity ingenuity ingenuity....hatuna sisi!
   
 20. MwanajamiiOne

  MwanajamiiOne Platinum Member

  #20
  Apr 6, 2009
  Joined: Jul 24, 2008
  Messages: 10,478
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Asa huko kwa kuandamana huku unasindikizwa na polisi ni wapi hapa Bongo? Utaambulia virungu na mabango yako ya kapitalisim sijui bankazi utayatelekeza mwenyewe. Bado tuko mbali sana katika suala zima la demokrasia
   
Loading...