ommytk
JF-Expert Member
- Jul 30, 2015
- 482
- 1,053
tuwaombe wenyeviti serikali za mtaa mkoa dsm wamsaidie mkuu mkuu mkoa dsm pamoja na serikali kwa jumla kwenye hili la wamachinga ni ngumu mkuu mkoa kuzunguka kila mtaa kujua wamachinga ambao wamerudi upya katika maeneo ambayo waliondoka wenyewe kwa hiyari .maeneo ayo yote kuna viongozi wapo na wanaona kama ayawahusu sasa sijui shida ni kuwaza kipindi cha uchaguzi kukosa kura ama kulaaaaa ebu wenyeviti badilikeni nyinyi ndio wawakilishi wa serikali ngazi ya mitaa.sio kazi za barua na muhuri