Wakufundwa wenyewe ni hawa wenye fikra za kurusha makombora kizani na kutembea na tindikali?Mbona kazi ipo.Unajua unaweza kuanzisha ki academy cha ufundaji wa akina mrs watarajiwa na ukatengeneza pesa sana....manake akina Bi. Hindu na Bi. Chau nao siku hizi wamekuwa ni wajasiriamali wa ufundaji na wanapata mshiko
Mwe! HAPPY BIRTHDAY TO ME!
Is this serious kuwa kuna waizi wa waume za watu humu jf? How are they stolen? Mwanaume wako akiwa kahaba ataibwa tu! How cud u blame ur fellow women 4 ur man insanity? Wajueje ndo mumeo km ye mwenyewe hajitambui kuwa ni mumeo akajiheshimu? Its shameful to stand in public and claim smone is stealing ur man...that means ur not woman enough to him...change atitude...mipasho haitasaidia zaidi inampa kichwa mhusika kama kweli that mume, ndoa and theft vinaexist..!
Kazi kweli kweli!!!!!!
Usiogope. Hatuibiwi. Tunajipendekeza wenyewe ajili ya magubu mlio nayo majumbani. JF inaondowa frustrations mnazotupa.
Nipo Sweety. Nipo sana tu. Habari ya deskmate?Mwali unapotea sana siku hizi, hebu ninong'oneze kidogo kama hujambo.
Heri yangu mume wangu sio memba jf...
Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa tukatunzika tunaonewa wivu sana na vishankupe..
Wenye bahati zetu tuwe macho na vijizi vya waume za watu.
Mrs M,nakuunga mkono,kichwa na viuongo vyote,vishankunpe kweli vimejaa tele humu,niPM basi nikupe details.Kwa wale wanawake wenye waume zao hapa Jf mchunge sana..umu kuna vijizi vya mabwana za watu,macho yao yako juu juu kuiba tu..
Sisi tuliopendwa tukapendeka,tuliotulia tukatulizana,tuliotunzwa tukatunzika tunaonewa wivu sana na vishankupe..
Wenye bahati zetu tuwe macho na vijizi vya waume za watu.
Mrs M,nakuunga mkono,kichwa na viuongo vyote,vishankunpe kweli vimejaa tele humu,niPM basi nikupe details.
nimekutafuta sana ..kumbe uko huku bana..nimekutumia pm kibao hujanijibu..nani anakuweka bussy?Nipo Sweety. Nipo sana tu. Habari ya deskmate?
Halafu mi nashangaa, mbona wewe ulipo jua ninasoma na deskmate uliniruhusu kuchonga pensil yake darasani, bora tu jiuoni arudi nyumbani? lolest!
nimekutafuta sana ..kumbe uko huku bana..nimekutumia pm kibao hujanijibu..nani anakuweka bussy?
Mi mwenyewe nilikua busy but nimepunguza kazi sasa, ndio nikaona niingie chit chat kwanza.nimekutafuta sana ..kumbe uko huku bana..nimekutumia pm kibao hujanijibu..nani anakuweka bussy?
Kongosho! huwezi kuona ukamezea? sasa hizo details zote unampa Ivuga kakuomba? lolkama wabaya wako si byshernger na babu ODM???
Sijui, niliwaona asubuhi wakimsuka suka nywele na kumpaka eye shadow
nikajiuliza, wameanza lini????
Kazi kweli kweli !!!!!!!!!
Mie Naricha tu. Sironda na mari gangu.
aa kumbeee. ngoja kwanza nikatafakari manake hio kolabo si mchezokama wabaya wako si byshernger na babu ODM???
Sijui, niliwaona asubuhi wakimsuka suka nywele na kumpaka eye shadow
nikajiuliza, wameanza lini????
labda ujianzishie thread we mwenyewe kuwa umejiibia mwenyeweMi mwenyewe nilikua busy but nimepunguza kazi sasa, ndio nikaona niingie chit chat kwanza.
Ivuga umeoa? sitaki kuanzishiwa thread kesho na Mrs Ivuga mie.
Sasa Mrs. Mbona una nidhalilisha, kwa hiyo ulikasirika nilipokuambia unifanyie massage kama alivosema Lizzy ukashindwa.mwanamke mipasho bibi wewe!na ntawapasha sana mashankupe wote.