wenye tabia moja hukaa pamoja.........................................

wenye tabia moja hukaa pamoja.........................................

meningitis

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2010
Posts
8,464
Reaction score
4,829
w510.jpg
 
Tabia gani jamani? Mtupashe kwani hapo namuona Rais wetu kawekewa kibao cha Cote De'Voire badala ya Tanzania, huu ni uchokozi, au???
 
Kungangania madarakani kwa gharama yoyote ile..sema Gbagbo yeye kwake kimenukaa...ivory coast si bongo .
 
Kungangania madarakani kwa gharama yoyote ile..sema Gbagbo yeye kwake kimenukaa...ivory coast si bongo .

Hivi huyo ni Gbabo au ni yule mwingine aliyeshinda na anaungwa mkono na jumuiya ya kimataifa!?, samahani picha zao zinanichanganya
 
nasikia mwingine anaongoza nchi hotelini sipati picha!
 
yaani ukiwataja wachakachuaji wa siasa za africa basi hiyo mibaba miwili inafungana.nadhani hapa walipeana tarehe za kufanya uchaguzi na uchakachuzi.Gbagbo hakumsikiliza huyu mwenzie!!!!
 
Una maana ni wezi wa kura Gbagbo na JK.............................................ama............................

attachment.php
 
hivi jk akiiona hii picha kwa sasa inakuaje?

Anaweza asi feel vyovyote niliwahi kuusikia msemo mmoja unasema ..''MALAYA HANA HAIBU''
labda atajisemea moyono da hata mimi ilibaki kidoogo kilipuke.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom