Mzigua_255
JF-Expert Member
- Jun 25, 2026
- 866
- 1,798
Wakuu nimekua nikikerwa sana na baadhi ya wauza Duka magenge n.k Huwa
Wana tabia Ya dharau Wengi wao unaweza Kwenda Dukani ukakuta Kitu ulichofuata kipo
Lakini Muuzaji ana Maringo Dharau majibu Ya mkato N.k huwa Najiuliza hii tabia Inatokana na nini? Kujiona matajiri? au?vp
WAUZA DUKA BADILIKENI TABIA HII SIO NZURI HATA KIDOGO.!ukiwa na
maadili Mazuli hata wateja watakuja wengi unakuta duka Inaajaa wateja mpaka watu wanasema mchawi kumbe tabia njema ya muuza n.k
BADILIKENI TABIA HII INAKERA KWA SASA
nimemaliza...!!!