wenye tabia moja hukaa pamoja.........................................

wenye tabia moja hukaa pamoja.........................................

hivi jk akiiona hii picha inakuaje?


atajifunza kuwa wizi wa kura sio mzuri ,,,mwenzie alikuwa anasweeti mapaka anajifuta jasho makwapani....kudadeki..unafanya mchezo nini na likitambi lake la maboga
 
Hapana Mama mdogo...kibao hakipo kwake ni kwamba umeangalia vibaya tuu....nadhan miwan yako inaelekea kupoteza nguvu
Tabia gani jamani? Mtupashe kwani hapo namuona Rais wetu kawekewa kibao cha Cote De'Voire badala ya Tanzania, huu ni uchokozi, au???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom