Wenye nyumba kuweni waelewa

Wenye nyumba kuweni waelewa

ila mie muoga wa kudaiwa, cjui huww nafeel aje, hata kukopa naogopaa, yaan najistukiaa tyuuh.

Nashukuru baba mwenye nyumba wangu cmjui na cjawahi muona kwa sura, namsikia kwa sauti nikiwa nataka kumfanyia malipo yake kwa cm.
Hata mie kudaiwa naona aibu na kudai pia sijui.. Ila watu wanatufunza roho ngumu.

Kipindi nimepanga, nikikosa kodi nakosa pozi kabiisa, ila maza house wangu alikuwa hana tabu, nampanga mapema anaelewa, ila nampambania kinoma sababu alikuwa ni mjane, kazi ya ufundi na vyumba kadhaa ndio vinamuweka mjini. Nikivusha saana ni siku 3 hivi.
 
Kuna wenye nyumba ni kiboko kwa kudai, kuna shost angu nusu atolewe vitu nje kisa alichelewa kulipa, na wakat huo alikua likizo kwao.

Kurud palee mzee kawaka hatarii,
Siku ile nilimuonea huruma shost, nkamuambia ampe kodi yake na afanye mpango ahame pale sio.

Mie siwezi ishi nyumba na mmiliki hapo hapo, na wapangaji wasizidi 4, yaan wawe 3 na mie niwe wa 4.
Wakizidi sikai hapo mie.
 
,
IMG-20240106-WA0009.jpg
 
Umenikumbusha kisa cha mwanangu alipata maza houz kiswaswadu, alitaka kutolewa vitu ndani na hali mama mkwe wake yupo pale na mkewe ndio katoka kujifungua, ni fedheha kwa kweli. Kuna watu hawana utu
 
habari zenu,

wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..

mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.

hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..

maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..

wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…

msinichambe..
HUyo mwenye nyumba wa aina hiyo ana shida zake tu.
 
habari zenu,

wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..

mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.

hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..

maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..

wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…

msinichambe..
Unakuta mwenye nyumba hana kazi nyingine amestafu labda, nyumba ndio kila kitu kwake. Kumchelewesha kulipa kunamfanya muda mwingine alale na njaa maana matumaini yote alishaweka kwako na hukumpa taarifa mapema kwamba mambo hayapo vizuri. Au ukute na yeye alikopa huko akawaambia nachukua kodi tarehe fulani.

Binafsi nimepanga na nimepangisha, naelewa adha ya pande zote yaani mpangaji na mpangishaji.
 
Kuna muda wapangaji wenyewe wanazingua,nimempangisha dogo mmoja na mkewe wanajitafuta kimaisha.Maana hata sielewi wanachofanya,hajalipa Kodi yangu zaidi ya miezi minne sasa juzi naliuliza hela yangu vipi January hii lilivyokosa akili linanipandishia eti kuna wapangishaji wengine wanakaa hata miezi sita bila kusumbua nimeliambia ikifika tarehe 31 nisimuone.Hakuna asiyeelewa hali ya maisha ilivyo lakini ukishindwa kutimiza wajibu wako uwe hata na busara.
Huyo hajitambui, kwanini alikaa kwako wakati anajua kuna sehemu wanaweza kukaa miezi 6 bila kusumbuliwa!
 
Usipange nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo na usipange nyumba ambayo mwenye nyumba naitegemea kwa maisha yake.
Hakuna mwenye nyumba ambaye hategemei nyumba kwa maisha yake. Ule ni mradi wake ndio maana alijenga za kupangisha...ila tu wawe waelewa na wavumilivu
 
Hakuna mwenye nyumba ambaye hategemei nyumba kwa maisha yake. Ule ni mradi wake ndio maana alijenga za kupangisha...ila tu wawe waelewa na wavumilivu
Wapo mkuu. Kuna watu wanajenga nyumba na hawana time nazo. Mimi nimeishi sehemu mbili wenye nyumba hata kodi anasahau inaisha lini mpaka umkumbushe. Kuna watu wana ela ni vigogo serikalini wanachukua maeneo wanajenga tu ana utitiri wa nyumba basi kujenga kwake ni kama ugonjwa tu.
Nimeishi nyumba moja mwenye nyumba ukimwambia kuna shida fulani, anakwambia chukua kodi tengeneza itakayobaki niwekee. Kwanza sikuwahi kumwona toka napanga hapo hadi nahama alikuwa mwanamama nilikuwa tu nina namba yake ya simu na niliishi miaka mitatu. Nilihama baada ya kuniambia anataka kubomoa zile nyumba zote mbili zilizokuwepo kwenye complex ajenge upya na akanipa miezi mitatu nikae bure nikitafuta nyumba.
 
Back
Top Bottom