Wenye nyumba kuweni waelewa

Wenye nyumba kuweni waelewa

habari zenu,

wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..

mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.

hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..

maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..

wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…

msinichambe..
Miaka yote unadanga umeshindwa kujenga hata chumba kimoja😂
 
😅😅😅sitaki bure ye asuburi hela ake
Utahamishwa tu. Kuna kikundi hicho mbagala huko kazi yake kushughulika na wapangaji wakakorofi tu. Hao wanafatana na wewe kila unapokwenda bila wewe kuelewa, ukitowa pesa tu wanakukaba wanachukuwa kwa nguvu wanakwambia, ahsante, hii kodi unayodaiwa. Sasa nenda kashitaki kuwa umeshalipa kodi. Na risiti wanakupa.

Hao hata panya rodi wana afadhali.

Labda haupo Dar wewe.
 
Utahamishwa tu. Kuna kikundi hicho mbagala huko kazi yake kushughulika na wapangaji wakakorofi tu. Hao wanafatana na wewe kila unapokwenda bila wewe kuelewa, ukitowa pesa tu wanakukaba wanachukuw kwa nguvu wanakwambia, ahsante, hii kodi unayodaiwa. Sasa nenda kashitaki kuwa umeshalipa kodi.

Hao hata panaya rodi wana afadhali.

Labda haupo Dar wewe.

heeesijafika huko jamani
 
habari zenu,

wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..

mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.

hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..

maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..

wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…

msinichambe..
Umeandika kwa busara sana hakika wewe si mpangaji msumbufu.
 
Back
Top Bottom