that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
- Thread starter
- #21
kweli viile mnakwaza jamani kote ni kugumuNimecheka kuna mmoja nae katoka kusema mwenye nyumba anamsumbua sana anadai kodi simu muda wote[emoji16]
kweli viile mnakwaza jamani kote ni kugumuNimecheka kuna mmoja nae katoka kusema mwenye nyumba anamsumbua sana anadai kodi simu muda wote[emoji16]
Ulishawahi kumcheki mwenye nyumba kama ana mpyatilo!? Simu janja kama hz usikute hana! na ujumbe ukawa haujafika sawa sawiahabari zenu,
wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..
mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.
hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..
maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..
wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…
msinichambe..
wapi huko nijeAchana huyo mjinga, njoo kuna chumba srlf hakina mtu ukae miezi 7 usepe.
Nahitahi mtu aishi kisiharibike
naona huyu wangu ndo anachotakaKatika dunia hii! Ukimtoa Mungu, wa pili kuogopesha ni mwenye nyumba! Muda wowote dish likiyumba anaweza kukulaza nje!
haishi hapa lakini kila asubuhi yuko hapaUsipange nyumba ambayo mwenye nyumba anaishi hapo na usipange nyumba ambayo mwenye nyumba naitegemea kwa maisha yake.
hakuna makosa lakini mtu hana na amekuambia 3 weeks before si unapaswa kuelewaUtafahamu vipi kwamba mwenye nyumna anaitegemea nyumba kwa maisha yake? Na kuna makosa mtu kutegemea mali yake ikiwemo nyumba?
asantePole
jamaniWapangaji keroo sana, bora nafugia kuku sasa
mi nimesema mapema tuMuwage mnasema mapema,
Sema na nyie mnazingua sana,home wapangaji wengi wamesepa na madeni nilivyokuwaga sijitambui lkn kwasasa natimua,,,bora nyumba ikae na kuku tu,
Basi si muungwana,haya ni maisha tu,,mi nimesema mapema tu
imagine na sijawahi kumchelewesheaBasi si muungwana,haya ni maisha tu,,
Na hali ya sasa inaeleweka aisee.
Kipa nae katoka golini 😂
Kwanini iwe january 😂amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.
Hawezi kukutoa ila kuja kwake mara kwa mara kunakeraimagine na sijawahi kumcheleweshea
kivumbiiiiKipa nae katoka golini 😂
mambo magumuKwanini iwe january 😂
yaaani kiasi kwamba mtu huwezi hata kuwasha radio kwa rahaHawezi kukutoa ila kuja kwake mara kwa mara kunakera
Naelewa balaa la kudaiwa kodi, mwenye nyumba akija hata kwa ishu nyingine unajua kakufuata wewe.yaaani kiasi kwamba mtu huwezi hata kuwasha radio kwa raha
Anategemea kodi. Kuna nyumba unapanga mpaka unahama hujawahi kumwona mwenye nyumba au mlionana mara moja ndai ya miaka 3haishi hapa lakini kila asubuhi yuko hapa