that manzi
JF-Expert Member
- Jun 19, 2023
- 386
- 1,247
- Thread starter
- #161
Imeisha Jana na sikulala pale nimeenda kwa ndugu yangu nitamkwepa had tareh 20 hv



dahImeisha Jana na sikulala pale nimeenda kwa ndugu yangu nitamkwepa had tareh 20 hv



dahWenye nyumba wote wa jf wamekusikia. Tatizo ni kwamba inawezekana mwenyenyumba wako hayumo humu. Delivery Report: Unsuccessful/not sent
Dezember Impacts...
madhara ganiHii comment inaweza kuwa ya utani lakini ikaleta madhara. Hasa ukizingatia kwamba kuna watu wanakosa solution za changamoto zao
Mkuu jifunze kutengeneza budget yako mwenyewe...plan budget yako.
Kodi sio emergency, ni kitu unajua ukilipa leo inaisha tarehe flani
Kuna wengi wapo hivyoo mweke kwenye maombi au mwangie makusudi ukae mwaka mzima bila kodi unalipia tu maji . Nilimuweka wangu before hapa alinisumbua mikamweka kwenye maombi akawa haji kuomba kodi tena mpaka nilipomfungulia kwa maombi tena



Pole sana mkuu
Brother kipo maeneo gani hiko chumbaKwanini nimendee mbunye huku gizani?
Mimi niko mbali nitamkulaje?