Wenye nyumba kuweni waelewa

Wenye nyumba kuweni waelewa

Kuna watu hawajui kudai yaani acha tu.. unaweza kuwa na ww unamiliki nyumba nzuri na nyingi au kubwa kuliko uliyopanga na unawapangaji vile vile..

Ila huko ulipopanga ww unaendeshwa na Mwenye nyumba.. mara nyingi wengi hawajui kudai hapo ndio nakosana nao sana.. na mtu unakuwa na jeuri maana na ww una yako kali kuliko hicho kibanda anachokunanga nacho.
Suala Ni kulipa Kodi, utaki kajenge yako
 
habari zenu,

wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..

mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.

hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..

maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..

wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…

msinichambe..
Wachane hao...
 
Kukaa na mama mwenye nyumba kama wewe jau sana, umkute mpangaji anatengeneza kitimoto chake rosti na ndizi na kodi hajalipa lazima palipuke.
Wala sishughuliki na wapangaji wangu hata siku moja. Nimewapa mawakala, wao ndiyo wanakodisha na kunilipa kodi Kaz ya kumbuwana ni ya kwao. Wao wananilipa changu, wanatazama nyumba, repair ndogo ndogo zote juu yao, mimi hata sielewi wanakodisha wengine shillingi ngapi, changu wananipa kila mwaka mara moja tu. Hakunahili wala lile.

Nashukuru siishi Kitanzania, kijinga jinga. Unafahamu maana ya "real estate agents"?

Sikwenda shule za kusomea ujinga. AlhamduliLlah nimeiona dunia.
 
congrats
 
habari zenu,

wenye nyumba zenu mliopangisha na mpo humu, hebu kuweni waelewa muda mwingine jamani..

mtu anakulipa kodi siku zote on time bila maneno wala kelele, amekwama mwezi mmoja anaomba umvumlie hutaki kuelewa khaa.

hakuna mtu anapenda kudaiwa kila mpangaji anajua wajibu wake wa kulipa kodi ila kuna muda mipango sio matumizi muwe mnaelewa..

maisha hayapo hivyo jamani kuna kupata kuna kukosa mtu akikwama muwe mnawaskiliza..

wapangaji nao ni watu wanapaswa kusilizwa sio kuwanyanyasa…

msinichambe..

Ninaye mpangaji wangu Jembe kabisa, anaweza chuna hata miezi 6, ila akitokea analipa hata miaka 2
 
Kuna wapangaji wengine nao miyeyusho amini mimi maneno yangu.
Ukikwama toa tu taarifa mapema tu, kuna wengine mapemaa anasema mie mwezi huu hovyo, na tunaelewa sababu si wote tunahangaika na haya maisha kuna kipindi byee kuna kipindi ni tee kabisa.
ila mie muoga wa kudaiwa, cjui huww nafeel aje, hata kukopa naogopaa, yaan najistukiaa tyuuh.

Nashukuru baba mwenye nyumba wangu cmjui na cjawahi muona kwa sura, namsikia kwa sauti nikiwa nataka kumfanyia malipo yake kwa cm.
 
Utahamishwa tu. Kuna kikundi hicho mbagala huko kazi yake kushughulika na wapangaji wakakorofi tu. Hao wanafatana na wewe kila unapokwenda bila wewe kuelewa, ukitowa pesa tu wanakukaba wanachukuwa kwa nguvu wanakwambia, ahsante, hii kodi unayodaiwa. Sasa nenda kashitaki kuwa umeshalipa kodi. Na risiti wanakupa.

Hao hata panya rodi wana afadhali.

Labda haupo Dar wewe.
mbna mpya hii wallah
 
Back
Top Bottom