ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,748
- 42,218
- Thread starter
- #141
Safiiiiii 🔥🔥🔥 rafiki yako intel yupo wapiSana leo nimekunywa ulabu kwa ajili yao
Safiiiiii 🔥🔥🔥 rafiki yako intel yupo wapiSana leo nimekunywa ulabu kwa ajili yao
Sijui hiyo kenge maji imezamia mto gani. Simuoni muda sio kawaida yakeSafiiiiii 🔥🔥🔥 rafiki yako intel yupo wapi
Siwezi amini kwakwel Shes mwezi wa Tisa nitaonana nae tupate dinner 🤣Wewe umelewa 🤣🤣
Mara ya mwisho alisema anaumwa 🥹Sijui hiyo kenge maji imezamia mto gani. Simuoni muda sio kawaida yake
Hakika jana pesa ilienda kwenye target 😅😅 kila la kheri katika hiyo dinner yenu👌Siwezi amini kwakwel Shes mwezi wa Tisa nitaonana nae tupate dinner 🤣
Fafanua vizuri mkuu.😅Mbamizwa ndege hujqona quotes zangu au
Sijaamini Jana nimewasiliana na mpenzi wangu eti Leo naona love ov my life mwanaume si mwanaume mwanamke si mwanamke
Bado selewi Ila nijipe moyo na bia ndo kipenzi changu mchaga wa kudaulodi Red black mjomba kutoka marangu sembeti amefika min -me
Mbamizwa ndege cc secretarybird
Naaaam barabaraHakika jana pesa ilienda kwenye target 😅😅 kila la kheri katika hiyo dinner yenu👌
Hapo huoni kama alikua kapendeza huyo kijana 😅Fafanua vizuri mkuu.😅
Umepata supu asubuh lakinNaaaam barabara
Kumbe!Hapo huoni kama alikua kapendeza huyo kijana 😅
Nilijua wazee mnaona mbali🤣Kumbe!
Mapema na maji ya afya makubwa 🤩Umepata supu asubuh lakin
Safiiiiii 🔥Mapema na maji ya afya makubwa 🤩
Shida ni nini?Weekend ilikuwa mbaya..
Nimeshindwa kuona mbali sababu nilivua miwani yangu tangu asubuhi.Nilijua wazee mnaona mbali🤣
Miaka 44 unavaa miwani 😆Nimeshindwa kuona mbali sababu nilivua miwani yangu tangu asubuhi.
Sana tu!Miaka 44 unavaa miwani 😆
Pumzika kwa amani ndegeSana tu!
Kutokuwa kwa jukwaaShida ni nini?