Weekend yako ipo kama ulivyotarajia?🤷‍♀️

Weekend yako leo imekuwa kama ulivyotaka?

Sometimes unaweza kuamka ukaanza siku yako vizuri ila ghafla bin vuu kitu kinatokea na kuharibu vibe lote

Ikitokea hivyo unafanya je kurudisha vibe yako?

So, weekend yako iko kama ulivyotarajia, au kuna something imevuruga vibe?

Au kwako safiii tu!

ShesRise_1 ✋️#Weekend
Picha linaanza ni weekend,
Huna hili wala lile
Ghafla unashangaa simu inaita.
Kuangalia unakuta ni msaidizi wa Bosi.
Unapokea na kumsikiliza, anakwambia Bosi anawahitaji leo saa 4 asubuhi, kuna kazi ya dharula.
Sasa ukizingatia ulishakula kiapo cha utii, inabidi tu kishingo upande ujiandae na kwenda kazini. Wakati mwenyewe nilishapanga kwenda mahali kupata mbuzi choma na wine.
 
Koleza mwandiko hapo kwenye kiapo cha utii 🤣🤣
 
Weekend yangu imekuwa mbaya sana,kuna binti nilitaka kumfanya mke sasa mwishoni nikasema nisije enda chaka nikaanza kumu track.Nimekuta kuna jamaa moja anachati naye kila siku na kila siku lazima waongee na wapo Mkoa moja.
Yani nimevurugika maini mpaka ubongo,nimekuja kuji reset kidogo na bia 2/3 mawazo mpaka kichwa kinataka kupasuka
 
Dah poleee 😢😢
Mapenzi mashenzi mkuu🙌
Angalia usilewe sana lakin😢
 
Back
Top Bottom