Weekend yako ipo kama ulivyotarajia?🤷‍♀️

Weekend yako ipo kama ulivyotarajia?🤷‍♀️

Wednesday
 
Attachments

  • 6324054-bd672905e2e91b25f487b70d06c2c846.mp4
    5.2 MB
Weekend bado mbichi ila man u itaua
 
Attachments

  • FB_IMG_1787414623665.jpg
    FB_IMG_1787414623665.jpg
    50.7 KB · Views: 2
Mi nilikuwa job leo hivyo labda jioni hii ndio nianze weekend,
Vipi unataka twende wapi 😎
Siendi popote nipo zangu ndani nasilkiliza mziki ila nina vibe kama hivi
 
Attachments

  • Fally Ipupa - Eloko Oyo (Clip officiel).mp4
    20.2 MB
Kwa nini hupendi movie, unachokaa kukaa muda mrefu unaangalia au
Sipendi movie tena bora zamani saivi ndiyo kabisa

Wala shida sio kukaa mbona nakaa muda mrefu nikiwa nasoma nadhani sivutiwi tu
 
Sipendi movie tena bora zamani saivi ndiyo kabisa

Wala shida sio kukaa mbona nakaa muda mrefu nikiwa nasoma nadhani sivutiwi tu
Duh! Mi napenda movie vibaya mno 😁 kila weekend lazima nicheki kama sio moja basi mbili, na najaribu kucheki season kila siku jioni episode moja walau
 
Duh! Mi napenda movie vibaya mno 😁 kila weekend lazima nicheki kama sio moja basi mbili, na najaribu kucheki season kila siku jioni episode moja walau
Yooo mi siwezi hapa naongea na wewe sikumbuki lini niliwasha TV kwa ajili ya movie mimi ni Music tu 😂😂
 
Back
Top Bottom