bby wangu weekend yangu ipo oves yaan nimechoka mno😪
Polee baby hujapona mafua tu 😂bby wangu weekend yangu ipo oves yaan nimechoka mno😪
Ila we jamaa una dharau sana ujue,hata kama tunatumia majina fiche,kwahiyo hutaki mazoea kabisa umejiita nukta nuktaWeekend imebamba sana, familia ina afya njema na furaha . Kwakweli malaika aliyekuwa zamu wiki hii Nampa maua yake.
Ndio naingia home now,ingawa nilitoka job toka mchana
Oooh safi homie 🤗Ndio naingia home now,ingawa nilitoka job toka mchana
Sina mambo mengi just chilling
Sijui wewe huko niajeOooh safi homie 🤗
Huku safii tu homieSijui wewe huko niaje
Poa baadae kama vipiHuku safii tu homie
Poa🙏🙏Poa baadae kama vipi
bado yanatiririka🤧,, na pia mwili wangu hauna ushirikiano nahisi kulala tu😪Polee baby hujapona mafua tu 😂
Katengeneze playlist uitupie kwenye uzi wa wimbo unasikilizaYooo mi siwezi hapa naongea na wewe sikumbuki lini niliwasha TV kwa ajili ya movie mimi ni Music tu 😂😂
Yaan hizo emoj mie hoi😅😅bado yanatiririka🤧,, na pia mwili wangu hauna ushirikiano nahisi kulala tu😪
Uzi upi dosho12Katengeneze playlist uitupie kwenye uzi wa wimbo unasikiliza
😟kudeka tena!,Yaan hizo emoj mie hoi😅😅
Kwanini una deka lakini 🤭
Unadeka sana babes 😅🙌😟kudeka tena!,
eh emoj zangu zimekukosea nini😅😅
sema tu ushanizoea ndo maana unanisoma kwa sauti ya madeko😅😅 kiukweli naandika nikiwa nimekazaUnadeka sana babes 😅🙌
Emoj za mafua 🤪
Siamini 😅😅sema tu ushanizoea ndo maana unanisoma kwa sauti ya madeko😅😅 kiukweli naandika nikiwa nimekaza
Mbowe kanivurugaWeekend yako leo imekuwa kama ulivyotaka?
Sometimes unaweza kuamka ukaanza siku yako vizuri ila ghafla bin vuu kitu kinatokea na kuharibu vibe lote
Ikitokea hivyo unafanya je kurudisha vibe yako?
So, weekend yako iko kama ulivyotarajia, au kuna something imevuruga vibe?
Au kwako safiii tu!
ShesRise_1 ✋️#Weekend
Polee 😢 dahMbowe kanivuruga