Weekend yako ipo kama ulivyotarajia?🤷‍♀️

Weekend yako ipo kama ulivyotarajia?🤷‍♀️

Weekend yangu imekuwa mbaya sana,kuna binti nilitaka kumfanya mke sasa mwishoni nikasema nisije enda chaka nikaanza kumu track.Nimekuta kuna jamaa moja anachati naye kila siku na kila siku lazima waongee na wapo Mkoa moja.
Yani nimevurugika maini mpaka ubongo,nimekuja kuji reset kidogo na bia 2/3 mawazo mpaka kichwa kinataka kupasuka
Hongera sana mkuu utatengwa na kila mtu ila pombe ni rafiki wa kweli
 
mambo yameharibika tayar after kukutana na post ya mtu by the name Joanah hadi konyag zote zimeisha kichwan my friend Psalm 103 kuna sehem nakuhitaji tupge kambi kwenye uzi wa mtu kwa maombi tu ndugu yangu
Huyu dada 🥹
Sina hata maneno ila kila kitu kitakua sawa naamini
 
Nguvu anazo, lakini hatumii vizuri.

Mimi ni Mzee sana yaani!
Mbamizwa ndege hujqona quotes zangu au

Sijaamini Jana nimewasiliana na mpenzi wangu eti Leo naona love ov my life mwanaume si mwanaume mwanamke si mwanamke

Bado selewi Ila nijipe moyo na bia ndo kipenzi changu mchaga wa kudaulodi Red black mjomba kutoka marangu sembeti amefika min -me

Mbamizwa ndege cc secretarybird
 
Wewe umelewa 🤣🤣
 
Wikendi safi kabisa ndio nataka nirudi nyumbani nishapiga moja moto moja baridi. Shukrani kwa arsenal kuifanya wikiendi iende poa
 
Back
Top Bottom