Monetary doctor
JF-Expert Member
- Oct 20, 2022
- 12,700
- 23,939
Ikopi basi hiyo lipa namba ya mix by yas mtumie madamDah 😢
Ikopi basi hiyo lipa namba ya mix by yas mtumie madamDah 😢
Naachaje mlango wazi bebii😅Na we umefunga? Nimemuahidi beer, si unajua walevi tunapendana sana?
Nimehuzunika sasa dah😂Usiwe mkali mzee, ushemeji ni wajibu.
Unamkula dada wa watu na vyako visiliwe?
Tulia!
binti kiziwi🤷♀️Ikopi basi hiyo lipa namba ya mix by yas mtumie madam
Mix by yas beer 4 tuu madam @3000Ya beer ngapi? halafu mi sijui bei ya bia,
na ni mtandao gani? taja chap chap halafu tutafuta hizi msgs
Okay madampoa.
Haya futa kuanzia juu
Shes Kuna mesej ume i quote ya lipa naomba uifutebinti kiziwi hii hapa no yake
Confirm meku mzgo uingie hapa 😂
Unakaa kwa shemeji au ulienda kutembea 😅Shemeji amenikarimu vyema sana na pilau lake tamu.
✔️Shes Kuna mesej ume i quote ya lipa naomba uifute
Red futa basi hii mesej uliyo quote ya lipa mzee
Ngoja achek na confirm soon madam!25, mwambie Nancy aangalie
Huyo Nancy ni gani ? Ni pin ya kwenda ehConfirm meku mzgo uingie hapa 😂
Heh 😅🙌Huyo Nancy ni gani ? Ni pin ya kwenda eh
Anatoa product gani ?
Sio dhambi jamani ndugu wanaJF.Unakaa kwa shemeji au ulienda kutembea 😅
Acha basi mzeeHuyo Nancy ni gani ? Ni pin ya kwenda eh
Anatoa product gani ?
Anakaa kwa shemeji huyo😂Unakaa kwa shemeji au ulienda kutembea 😅
Mi pia nimeuliza sio kwa ubaya mbona ewe kijana mdogo😊Sio dhambi jamani ndugu wanaJF.
Sawa mdada 😎Usisikite kwa leo kwa ajiri yangu sawa kijana mdogo😊