binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 15,340
- 41,593
Mimi sio weekend tu, nadhani mwaka mzima huu, Alhamdullilah! 🥰
Gademitttt yoooo 🙅♀️Nilipropose twende Kanisani , Mipango imeingiliana, kete niliyocheza aliziona Moves zangu mbili mbele ,
Gademittt
Ngoja niandke pm madam!Mbili tu unakwama wapi? Walevi huwa hatunyimani mkuu. Weka lipa namba.
Ewaaah 😂Hata kwa kukopa Mkuu hakikisha unapata kitu roho inapenda
Akija utayarudia haya maneno 🤣Huyo mbamizwa tuu 😂..... Mgumu kama uchumi wa mjombawe kasongo
Mitano tena kwa shemejiShemeji amenikarimu vyema sana na pilau lake tamu.
toka hapo kwa shemeji yakoShemeji amenikarimu vyema sana na pilau lake tamu.
😅😅 nimecheka kilazimaWasisahau kutumia condoms
Anajua yeye ni mbamizwa ndege 😂🤣Akija utayarudia haya maneno 🤣
Sitokutetea kabisa
Hajui tu situation ni tafuuuuu😅💔Hatuna wakufanya nae 😅
Hajui kuwa hata mechi za kirafiki hakuna 😂💔Hajui tu situation ni tafuuuuu😅💔
Nimeona siziwezi nashindwa kujicontrol kwenye maamuzi nikishalewa kuanzia pesa na mapenzi nishamludisha wife kwa talaka mara mbili ila now nipo nae nikaona gambe ndo mchawi kifupi mimi kichwa panzi kwenye gambeHongera sana
Kwanini umestop bia mkuu?
Hongera bi mzuri wangu😘😘Mimi sio weekend tu, nadhani mwaka mzima huu, Alhamdullilah! 🥰
mimi kwa namna yoyote ile siwezi kwenda kukaa au kula kwa shemeji huo msosi unapitaje kwanza 😁Mitano tena kwa shemeji
Thank you switihati.Hongera bi mzuri wangu😘😘
Hivi hauna kaka ako huko jahazi linazama🥹😅💔Hajui kuwa hata mechi za kirafiki hakuna 😂💔
Mara uambiwe shemeji zima taa ,mimi kwa namna yoyote ile siwezi kwenda kukaa au kula kwa shemeji huo msosi unapitaje kwanza 😁