ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,456
- 41,380
- Thread starter
- #41
Safiii umefanya vizuri sio kila starehe ina mfaa mtu tafuta mbadala na uta enjoy tu hongera sana na kila la kheri usikengeukeNimeona siziwezi nashindwa kujicontrol kwenye maamuzi nikishalewa kuanzia pesa na mapenzi nishamludisha wife kwa talaka mara mbili ila now nipo nae nikaona gambe ndo mchawi kifupi mimi kichwa panzi kwenye gambe