Weekend Story! The Workaholics Silence

Weekend Story! The Workaholics Silence

Team Mafia Gill.

Huyu jamaa ni noma akitaka lake halishindikani na yule boya Matthew ajiangalie akili za Gill zikimkaa hovyo atajuta kumjua Marrie.
 
Mxxxxuuuuuùuuuuuu. Hebu usiharibu thread maana ndio kipaji chako. Nimesoma post zako hapo juu, nimenyamaza kuheshimu thread. Nakusare tuu #$#@$$/&&*^/$#@@@///$$#@@!

Ha ha ha halafu nyie wawili.....
 
Team Mafia Gill.

Huyu jamaa ni noma akitaka lake halishindikani na yule boya Matthew ajiangalie akili za Gill zikimkaa hovyo atajuta kumjua Marrie.
Gill IQ yake ipo chini ya Marrie, pale hawezi kufanya tricks zozote.
 
I REALLY MISSED YOU oddo,
halaaaafu lile pipa ujue utaishia kuja kubeba sanduku kunisindikiza kufunua mwali!
 
Jamani saa mbili ya wakati gani? Ninavyo muonea huruma Harry utadhani mtoto wa mama yangu mdogo! Kweli ana genes za kupendwa kama ulivyom portrait!
 
Nyota ya Stancy haing'ai kwenye mambo ya uchumi ya Harry. Kila akigegedwa,Harry anaapata balaa
 
NA KU QUOTE ILI KUKUFUNGA MANENO YAKO! Mi muandishi natabiri watu wengi kuhama team JIONI. hahaaaaaa!

NAOMBA KILA MTU ATANGAZE TEAM YAKE MAPEMAA TWEKE REJESTAAAAAA.

Nikishachagua upande sihami, Niko tayari kwa lolote. Ila usitufanyie figisufigisu japo tutayapokea matokeo yote bila kinyongo. Nimeshaanza kukusanya members wa team Harry, hata kama hatamalizia vizuri story ila nimeipenda jeuri yake na ujasiri wa uthubutu. Maisha hayataki lelemama yakhe!
 
Nyota ya Stancy haing'ai kwenye mambo ya uchumi ya Harry. Kila akigegedwa,Harry anaapata balaa

Na kuna watu wako hivyo, ukijihusisha nae tu, lazima dili zigome hata kama kila kitu kilikua kinaonekana kabisa kwamba mambo shwari ila yanavyogeuka kama masikhara.
 
Nikishachagua upande sihami, Niko tayari kwa lolote. Ila usitufanyie figisufigisu japo tutayapokea matokeo yote bila kinyongo. Nimeshaanza kukusanya members wa team Harry, hata kama hatamalizia vizuri story ila nimeipenda jeuri yake na ujasiri wa uthubutu. Maisha hayataki lelemama yakhe!

We jimalizeeeee! Kabla ya saa mbili naomba orodha kamili, TEAM HARRY NA TEAM GILL IW CLEAR ALAFU SASA MWISHO WA STORY TUTAFUTANE.
 
Me team mwimba kwaya sio kwakumwingiza Gill cha kike vile ka win love kwa mkewe mpaka watoto acha tu nimpende mwimba kwaya

Kapteni mbona unaniangusha? Mwimba kwaya yule zali la mentality tu limemdindokea, he didn't fight for to win Marrie, ila sumu aliyopandikiza Gill kwa mwanae wa kiume huenda ikabadili upepo. Mwimba kwaya nisiongee sana, file lake halijawekwa hapa zaidi ya kuwa church boy tu. Think global mkuu, don't think local...hamia kwa mpambanaji Harry🙂
 
Kwa herry no basi bora nije kwa Gill
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom