Utapeli Mpya Mjini!

Utapeli Mpya Mjini!

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,411
Reaction score
27,084
"Yaya"- dada wa kazi wangu alitumiwa sms/ujumbe ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777-77 98 45 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani akasema baba nimekutumia laki 2 tu , moja mpaka nichukue dukani, nikamuuliza kwamba nani kakuomba akasema wewe ulituma sms, nikkataa, sasa ndio nikagundua hay :

Hiyo ni ‘message spoofing’ ambapo hackers wameweka trojan so attacker anauwezo wa kuongoza device yako akiwa mbaaaali bila kuishika hio simu and si lazima uwe na mtu bro as long you have internet

Noma noma jamaa wametumia social engineering na RAT ku-attack,Mimi nimejiuliza watu wa mtandao wao hawana cyber Team ambao ni Blue team ama ethical hackers?,

MTANDAO WA SIMU haiwezekani waseme ni tukio la kwanza kureportiwa na Nilichogundua mifumo ya pesa ina weakness(vulnerability) wanatakiwa waboreshe idetect fraudrent kwa Ai,na pia Ai ya kuangalia hii namba unayotuma ni ya mtu huyu ilete kapicha kabla ya kutuma ko wanatakiwa watengeneze app ambayo unakuwa unaitumia wakala na watu wengine kutuma pesa kamanzilivyo Nala app,wallet za PayPal,n.k ili ujue kabisa unatumia nani.
hap kama Kuna developer wa app wazo ilo nakwachia ila ukifanikiwa nikumbuke mchango wangu wa wazo.

NB: Nisameheni nimeshindwa kuandika hii habari vizuri, watu wa cyber security mtasaidia zaidi.​
 
Yaya wangu alitumiwa sms ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777779845 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani akasema baba nimekutumia laki 2 tu , moja mpaka nichukue dukani, nikamuuliza kwamba nani kakuomba akasema wewe ulituma sms, nikkataa, sasa ndio nikagundua hay :

Hiyo ni ‘message spoofing’ ambapo hackers wameweka trojan so attacker anauwezo wa kuongoza device yako akiwa mbaaaali bila kuishika hio simu and si lazima uwe na mtu bro as long you have internet

Noma noma jamaa wametumia social engineering na RAT ku-attack,Mimi nimejiuliza watu wa mtandao wao hawana cyber Team ambao ni Blue team ama ethical hackers?,

MTANDAO WA SIMU haiwezekani waseme ni tukio la kwanza kureportiwa na Nilichogundua mifumo ya pesa ina weakness(vulnerability) wanatakiwa waboreshe idetect fraudrent kwa Ai,na pia Ai ya kuangalia hii namba unayotuma ni ya mtu huyu ilete kapicha kabla ya kutuma ko wanatakiwa watengeneze app ambayo unakuwa unaitumia wakala na watu wengine kutuma pesa kamanzilivyo Nala app,wallet za PayPal,n.k ili ujue kabisa unatumia nani.
hap kama Kuna developer wa app wazo ilo nakwachia ila ukifanikiwa nikumbuke mchango wangu wa wazo
Mkuu nakuheshimu sana sana , ila naomba unyooshe maelezo mbona ni kama unatupanga na kutuonyesha kuwa upo vizuri kwenye code ila hujaeleza tukio lilikuwaje na mwisho wa haya umechukua hatua gani kabla hujaanza kuwashauri hao wa mitandao ya simu mda mwingine wenyewe tu ni wezi sana
 
SAwa, MIMI SIYO IT EXPART, natamani kurekodi video nielezee, nimeshindwa kupangilia tukio, mwishowe nimeripoti polisi, the rest is story,
 
Mkuu nakuheshimu sana sana , ila naomba unyooshe maelezo mbona ni kama unatupanga na kutuonyesha kuwa upo vizuri kwenye code ila hujaeleza tukio lilikuwaje na mwisho wa haya umechukua hatua gani kabla hujaanza kuwashauri hao wa mitandao ya simu mda mwingine wenyewe tu ni wezi sana
Huo utapeli upo sana! Hela onatafutwa
 
Yaya wangu alitumiwa sms ambayo ni kama mimi ndio nimemtumia na namba zilizotuma ni kama zangu kabisa na likatokea jina langu . Meseji ilisema hivi" "Dada Maria, naomba umtumie huyu fundi shilingi laki 3 , namba zake ni 0777779845 na kweli akatuma. Niliporudi nyumbani akasema baba nimekutumia laki 2 tu , moja mpaka nichukue dukani, nikamuuliza kwamba nani kakuomba akasema wewe ulituma sms, nikkataa, sasa ndio nikagundua hay :

Hiyo ni ‘message spoofing’ ambapo hackers wameweka trojan so attacker anauwezo wa kuongoza device yako akiwa mbaaaali bila kuishika hio simu and si lazima uwe na mtu bro as long you have internet

Noma noma jamaa wametumia social engineering na RAT ku-attack,Mimi nimejiuliza watu wa mtandao wao hawana cyber Team ambao ni Blue team ama ethical hackers?,

MTANDAO WA SIMU haiwezekani waseme ni tukio la kwanza kureportiwa na Nilichogundua mifumo ya pesa ina weakness(vulnerability) wanatakiwa waboreshe idetect fraudrent kwa Ai,na pia Ai ya kuangalia hii namba unayotuma ni ya mtu huyu ilete kapicha kabla ya kutuma ko wanatakiwa watengeneze app ambayo unakuwa unaitumia wakala na watu wengine kutuma pesa kamanzilivyo Nala app,wallet za PayPal,n.k ili ujue kabisa unatumia nani.
hap kama Kuna developer wa app wazo ilo nakwachia ila ukifanikiwa nikumbuke mchango wangu wa wazo
Du! We are FUCKED jamani! Tukimbilie wapi sasa?
 
Back
Top Bottom