duuhh!!! Mpaka saa 2 usiku.. ngoja tuvute subra.Dah ngoja tu niwe team Harry....
![]()
duuhh!!! Mpaka saa 2 usiku.. ngoja tuvute subra.
Aisee Hurry nimeumia sana kapoteza kila kitu
hahaha kweli mkuu, bila kificho.. asante sanaHadi hapo na wewe ni team Harry, karibu.
yaaan nataka na mie nikamfariji harryAisee Harry nimeumia sana kapoteza kila kitu
kweli mkuu, inabidi ufanye hivyoyaaan nataka na mie nikamfariji harry
kweli mkuu, inabidi ufanye hivyo
yaaan nataka na mie nikamfariji harry



It'll be threesome and not twosome anymore. Hivi hii kitu inawezekanaje aiseee!??Next time apige twosome na harry na gill kama kuwaaga baada ya kujaa kababy,but hope ni mapema sana show kubamba,mida ikisogea mbingu zitamkenulia harry